Bodi ya mikopo na tume ya kukusanya maoni!

Msouth

Member
Apr 21, 2011
15
0
Wana JF! hii bodi ya mikopo hivi kweli bado tunaihitaji? Faida zake ni zipi? Halafu hii tume iliyoundwa maoni inayakusanyia wapi? Mbona wasomi tunapigika? Wana jamvi naomba tuwashauri hawa bodi au nalo ni gamba livuliwe? Nani wa kulivua...!
 
Back
Top Bottom