Kama ni wakwako watakuja tu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama ni wakwako watakuja tu!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 21, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,480
  Likes Received: 5,716
  Trophy Points: 280
  Ndugu wapendwa kumekuwa na imani tofauti juu ya huyu babu yetu wa loliondo na baya zaidi watu wameanza kutumia majuukwaa ya kanisa kulalamikia safari hizi
  niaminivyo mimi huyu babu ajaanzisha kanisa na kama mtu aanalalamika kukosa waumini nadhana anakosea...swala ni watumishi wa Mungu wazidi kuomba ukweli ujulikane..niaminivyo kama ni wa kwako watabaki kuwa wa kwak tu .......

  Nianacho mimi hapa watanzania wengi wanaumwa wanataka uponyaji wa haraka na wanachofanya ni kutaka kuwah uponyaji waishi maisha ya amani na kama kuna mtu anahama kanisa kwa ajili ya babu basi ana utindio wa ubongo hata kama umepona kwa babu pls baki kanisa lako aijalishi wamesema nini juu ya babu bali imani yako ndio itakayokuponya..lingine kuwa makini na kujibishana nao utpunguza baraka zilizopo

  Asbh Njema
   
Loading...