Mauaji ya South Beach, ni kweli wauwaji wako nje kwa dhamana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji ya South Beach, ni kweli wauwaji wako nje kwa dhamana?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mvua magamba, Apr 20, 2011.

 1. m

  mvua magamba New Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magazeti mengi ya leo yameripoti kuwa wale wafanyakazi wa hoteli ya South Beach wanaotuhumiwa kumchoma moto na hatimaye kumsababishia kifo mkazi wa Kigamboni Bw.Lilah Hussein wako nje kwa dhamana. Chanzo hicho kinasema kuwa watuhumiwa hao kutokana "shinikizo la wakubwa ili kuwalinda wawekezaji" walifunguliwa shitaka la "kujeruhi na kushambulia".Hili limenisikitisha sana.
   
 2. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sishangai hii ndio TANZANIA YETU YA LEO WALA SIO YA ENZI ZA MWALIMU
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  Wawekezaji wameiweka serikali yetu mfukoni mwao. Hamna utawala wa sheria. Haki ni kwa wenye pesa
   
 4. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jambo hili linasikitisha tena sana....jambo la kutaka kumchoma mtu eti kisa kuingia ukumbini bila tiketi...tena ni unyama...watanzania hao hawana haya...:angry:
   
 5. M

  MSAFIRI KABULWA Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  wawekezaji wanalindwa hata kama wanavunja sheria za inji hii
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mvua Magamba,

  Ukweli ni kwamba yule jamaa wa Southe Beach ana mtandao mkubwa sana na mafisadi walio serikalini including jeshi la polisi
  Huyu bwana amejenga beach kwenye eneo la makaburi ya wakazi - hakuna wa kumfanya kitu
  Huyu bwana alikua anapiga mziki sauti ya juu ajabu, despite complains kutoka kwa wanaolala au majirani - nothing happened
  Huyu bwana alifikia kuruhusu watu zaidi ya mia tatu kwenye pool la size ya domestic - health hasard, nobody did anything - YOTE HAYA YALIRIPOTIWA
  Age was nothing wakati wa wikendi, watoto, watu wazima, walevi nk walicheza uchi kwenye zile showers with all sex scenes and indecent conducts - HE REMAINED AT LARGE
  Now he has gone even further - KILLED - and he is out ati kapata bail

  KWA HILI NAWAAMBIA, WAKAZI WA MJI MWEMA NI WASTAARAB NA WENGI NI WAPEMBA, ILA WAKICHOKA CHAMOTO KITAONEKANA... NA KWENYE HILI AMINI NAWAAMBIA KAMA SERIKALI HAITAKUA MAKINI BASI MAAFA YAKE HAYATASAHAULIKA

  USICHEZEE MASKINI, UKAMTIA NA VIDOLE VYA MATAK0NI....

  DISGUSTING REALLY KAMA KWELI YUKO NJE KWA DHAMANA
   
 7. m

  mao tse tung Member

  #7
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya bana.hii ijni ya kiwete
   
 8. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ningependa kujua kuwa ukikabiliwa na mashtaka ya mauaji, unaweza kupatiwa dhamana na kukaa nje? Wanasheria naomba msaada.
   
 9. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  itakuwa kama ya Zombe tu....nchi hii inasikitisha!
   
 10. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Dah! Balaa! Inasikitisha na kutia hasira sana! i once went there nikaona zile showers zake pale, and i was realy suprised and then mziki sauti ya juu ajabu, nikajiuliza, kuacha wale wanaolala kwenye vile vyumba vya ile hoteli, majirani nao inakuwaje?? sikupata jibu, ila kuna mtu akaniuma sikio akasema owner ni one of untouchables!

  Mbaya sana!
   
 11. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  I hate to hear that
   
 12. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  nawapinga wote ktk shtaka la mauji hakuna dhamana na kuna mtu ametoa mada jana kuwa gazeti la nipashe limeripoti washtakiwa watatu wafikishwa mahakamani na kusomewa shtaka.Mahakama ya temeke haina uwezo na hata mahakama kuu haina uwezo wa kutoa dhamna kwenye kesi ya mauaji nasema tena haiwezekani wawe nje kwa dhamana.Ktk Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya jinai mashtaka yasiyokuwa na dhamana yameainishwa vema ni mauaji,ujambazi wa kutumia silaha,kitaka kuipindua serikali(Treason) sasa itakuwaje wasomewe shtaka afu wapewe dhamana kwa kigezo kipi???? Serikali haina huo uwezo wa kuingilia mahakama ktk fail lake eti mpe dhamana....JF jamani mkubali haiwezekani kamweeeeeeee.
   
 13. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ushauri ni kwamba dawa ya moto ni moto, amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga..hawa watu ni kuwamaliza ndio watatia adabu. Ni watu kuamka na kujilinda, mkisubiri polisi na mafisadi mmeliwa..ni kuwatandika mapanga wawekezaji uchwara kama hao. Jino kwa jino, wananchi waamke, watu wameonewa vya kutosha!
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Loh, kaka umeongea kwa hisia sana. Una uchungu mwingi, so do I...........
  Tatizo la hiyo mitandao halina budi kukomeshwa maana hata hao jamaa wanapata kiburi kutoka kwao. Hata haya mambo yakifika kwa mkuu wa kaya bado ni kazi bure sababu ya mitandao..... Natamani tupewe route sasa hivi, wasemavyo wana-UDSM!
   
 15. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Kifungu cha 148 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya jinai kifungu chake kidogo cha 5 chatoa mazingira/sababu za kukataliwa kwa dhamana.Kinasema hivi: A police officer in charge c f a police station, or a court before whom
  an accused person is brought or appears, shall not admit that person to
  bail if-
  (a) that person is accused of reorder or treason;
  (b) it appears that the accused person has previously been sentenced
  to imprisonment for a term exceeding three years;
  (c) it appears that the accused person has previously been granted
  bail by a court and failed to comply with the conditions of the bail
  or absconded;
  (d) the accused person is charged with an offence alleged to have been
  committed while he was released on bail by a court of law;
  (c) the act or any of the acts constituting the offence with which a
  person is charged consists of a serious assault on or threat of
  violence to another person, or of having or possessing a firearm or
  an explosive;
  (f) it appears to the court that it is necessary that the accused person be
  kept in custody for his own protection or safety.

  Sasa yategemea watu hao wamesomewa shtaka gani na kuna mazingira gani hapo.Kama kuna sababu ya kunyimwa dhamana halafu imetolewa,wananchi waonyeshe makosa hayo ya kipolisi na kimahakama kwa vitendo.DISCLAIMER:Mimi ni Mwanasheria.
   
 16. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  kumbe wananchi walisha report tabia ya unyanyasaji wa mwekezaji huyu mpaka ikulu,lakini serikali haikushughulikia mpaka haya yanatokea!vodacom wamepigwa mkwara na wananchi kutofanya onyesho south beach siku za pasaka!wananchi wanauliza polisi wanalinda nini pale hotelini? wanataka ifungwe!
   
 17. z

  zamlock JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  sasa kwa nini serikali ifikie hapa alafu wananchi wakichukua maamzi wanasema tumejichukulia sheria mikononi ni uonevu sana na ninacho kisema mimi iko siku haya manyanyaso yataisha
   
 18. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Hakuna dhamana kwa murder wakasote 3yrs watapata akili na ukatilki wao wakaseme na manyapala keko au waende sega daNce wakajute
   
 19. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nasikitika sana, nimeapa nafsi yangu tu kwamba kwa hilo sitakwenda South Beach tena!
   
 20. BongoLogik

  BongoLogik JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kutokana habari ya mleta hoja kama ni kweli amefunguliwa mashtaka ya kujeruhi na kushambulia hapo dhamana inawezekana.
   
Loading...