Afande nzowa mgongano wenu wa kimasilah msituhusishe watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afande nzowa mgongano wenu wa kimasilah msituhusishe watanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 21, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,483
  Likes Received: 5,719
  Trophy Points: 280
  Kama kuna upuuzi nisiyo taka ni polisi kutangaza unafiki mbele ya watanzania
  kuna swala linaniumiza sana kuna huyu bana anajiita nzowa ametangaza kukamata muiran lakaini ukweli halisi anajua amekuwa akiingiza madawa za kulevya na amekuwa akidirect baadhi ya polisi kuwasimamia wapitisha madawa ya kulevya leo ametoka wapi na muiran kuonekana mubaya

  kama kuna mgongano wa kaimasilahi na wairan tunaomba msituhusishe wakati akiwa anapitisha kila siku pale airport akuna alikeuwa akipiga kelele leo amekataa kutoa cha uvunguni anadaiwa kukamatwa wakati fika wa alikuwa masaki na wao wakiwa kwenye payroll ya muiran

  Mwisho nasikitika kutangaza akuna kesi yoyote hapo itabakia story atakamatwa atatoa hela kama ajaachiwa na nzowa basi DPP
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Huwa wanawapitisha na kula mgao...leo inaelekea kuna mtu amekosa akakomaa.kesi kama kawaida hawafungwi na vidhibiti vinarudi kuuzwa mtaani kwa tejas
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,483
  Likes Received: 5,719
  Trophy Points: 280
  Aiseee
  kunywa vasrooooooooooo jfgarden niachie invoice
  umeonaaaaaaaaaaaaaaaaa eeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhhhhhhh
  kweli utaki unafiki
   
Loading...