Foleni Dar: Yamekupata yapi leo katika foleni za magari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Foleni Dar: Yamekupata yapi leo katika foleni za magari?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gurudumu, Apr 19, 2011.

 1. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wadanganyika, niko mjini katikati tangu saa 12 jioni hadi sasa saa moja dakika kumi. Barabara zote ziko tight foleni haisogei. Walio kwenye foleni tupeane updates

  Nilitokea mjini katikati maeneo ya Imalaseko Supermarket, kuelekea Kigamboni. Kutoka hapo Garden street had Kuingia kwenye foleni ya Feri ilinichukua saa moja na nusu. Kwenye foleni ya Kuingia kwenye pantoni ilinichukua tena saa moja nzima, baada ya kuchakachua kidogo. Nilianza safari saa 12 kamini jioni nikafika nyumbani saa 3.46 usiku, ni umbali jumla ya kilomita 14 kutoka mwanzo wa safari hadi nyumbani kwangu.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,481
  Likes Received: 19,875
  Trophy Points: 280
  upuuzi, na hii ni sababu moja wapo ya kuiondoa serikali madarakani. asa wanafanya nini kama wameshindwa kusolve vitu vidogo kama hivi?
   
 3. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Just imagine walio kwenye daladala na hasa wamesimama wanapata taabu kiasi gani
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Asee pole sana. Nakushauri hivi kwa vile huwezi kusoma kwa foleni as taa ni deam sana, basi drink and drive the most effect way ya kutumia muda wako.
   
 5. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kweli mkuu nimekunywa maji, ukojo umebana sasa!
   
 6. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  I can imagine. Siku moja nilikuwa Mandela Road, naelekea Mwenge nikawa kwenye foleni haisogei nadhani kama masaa mawili. Fuel gaude ya gari langu la diesel ilikuwa kwenye E, halafu nikajisikia kwenda haja ndogo, kisha tumbo likaanza kunichafuka....Ilibidi nitumie yoga meditation ili kupoteza akilini mwangu hali hiyo. Kwa bahati, baada ya muda mrefu, sikumbuki ulikuwa ni kiasi gani, nilifanikiwa kufika Ubungo petrol station na kujaza diesel. Foleni za Dar si mchezo!
   
 7. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Huyo yoga anapatikana wapi mkuu, mkojo umenibana natamani kulia
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwani kuna tatizo gani, au ndio wageni wa eac?
   
 9. K

  Kisanduku Member

  #9
  Apr 19, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi zile chupa za maji ya uhai nikmaliza kunywa huwa situpi. Walau mbili ninakaa nazo kwenye gari wakati nina-drive. Nikibanwa mkojo kwenye foleni kama mnavyosema basi nachukua moja nashughulika. Gari zangu huwa ni tinted. Nikifika home namwaga mkojo nachoma chupa jalalani kama takataka zingine. Kwa nini nijikojolee eti kisa foleni.
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Duh, jembe nimetokea kukukubali ghafla.... Mimi niko kwny foleni hapa chuo, imajini nyororo limeanzia nyumbani kwa VC mpaka Ubungo...
   
 11. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ubunifu mzuri mkuu lakini gari yangu siyo tinted, imagine bado niko kwenye foleni tangu saa 12 kamili
   
 12. K

  KWELIMT Member

  #12
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kisanduku pole sana!mmh nakushauri ununue na pot kwa ajili ya kubwa..........maana kila mtu hapa dar anatafuta gari kurahisisha usafiri!

  usikasirike sana barabara za juu zitakamilika b4 2015!
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,481
  Likes Received: 19,875
  Trophy Points: 280
  kina kashaga na dk.Hkigwangwala hawaingiagi kwenye thread kama hizi.
   
 14. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Heri yetu tulio nje ya hilo jiji!
   
 15. D

  Danniair JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli mwanadamu HATOSHEKI... jana Bw. Pombe kahimiza bomoa bomoa ili tupate barabara pana wanadamu wakamjia juu kama moshi wa kifuu. Tukitaka maendeleo ya kweli tukubali maumivu, kama vile bomoa bomoa.
   
 16. M

  Msanya Member

  #16
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Magari 3 kutoka kila Halmashauri yapo mjini hapo kuwasilisha bajeti za H\W zao. Na lingine liko na maafisa utumishi wanahakiki walipwa mishahara hewa. Wabunge wameahirisha bunge wamekuja town kula za kamati. Duh msijali Wajapan wasema watawaondolea kero hiyo soon.
   
 17. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Vp kama una abiria
   
 18. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Solution sio bomoa bomoa.Ni kuhamisha hayo maofisi kati ya mji mengine yahamie kando ya mji kusiko na foleni.Kwani serikali haijaajiri wataalamu wa mipango miji?walipokuwa wanajenga hiyo mijengo barabarani walikuwa hawafikirii kuwa kutakuwa na overpopulation au urbanization?Jengo kama ''MWALIMU HOUSE" hapo Karume hivi utaanzia wapi kulibomoa?
   
 19. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hata wakiziona wanazipotezea mkuu kwa sababu hawana majibu
   
 20. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ushauri mzuri sana. Hata hivyo hili linawezekana kwa wanaume, je kina mama watafanyaje kama wakijikuta katika hali hiyo?
   
Loading...