Nataka mjue sisi arusha na moshi tuna uwezo wa kujitenga na nyie kwa sbabu mnaendekeza sana ccm,tunataka mabadiliko sio kuvuana magamba,bora tujitenge tuwe na kanchi ketu kazuri katamu
Arusha na Kilimanjaro zinaweza kujitenga zina kila kitu na uchumi mkubwa kuliko Zanzibar!!. Zanzibar productivity ni zero!. Lakini haita wezekana kujitenga!
Hivi katika mkoa wa Arusha na wa Kilimanjaro ni chama gani kilichopata viti vingi vya ubunge?? na ni mgombea wa chama gani aliyepata kura nyingi za uraisi??
Hiyo tamu kwelikweli kwanza hili linchi TZ, ni likubwa sana,ila tuongeze mara, manyara na tanga.katakuwa kanchi la kijanja dunia nzima hakuna.NANI WA KULIANZISHA TUTAMUUNGA MKONO.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.