Naanzisha redio na tv ya wapinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naanzisha redio na tv ya wapinzani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Apr 20, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Jamani nataka kuanzisha redio na television maalum kwa wapenda mabadiliko,na wapinzani,naombeni anayejua prosses naanzia wapi na kuishia wapi,nataka vibali na mihela nifanye nini mie mbona nimechoka na haya maisha,sitajinyonga mpaka nione mabadiliko
   
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ni bora uanzishe kwanza halafu ndio uwakaribishe wapinzani lakini ukitangaza kabla ujaanzisha utakutana na vikwazo vingi njiani.
   
Loading...