Wananchi wafunga barabara eneo la wami na kusababisha folen ya zaid ya magari 300 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi wafunga barabara eneo la wami na kusababisha folen ya zaid ya magari 300

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by samirnasri, Apr 21, 2011.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni baada ya mtoto kugongwa na gari wananchi wanabeba mawe, magogo na miti wakitaka wawekewe matuta. Wananchi ni wengi na wanasema wako tayari kufa. Source: redio one/itv breaking news.
   
 2. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Badala ya kudhibiti madereva wanadhibiti magari kwa kuyawekea matuta. Sasa kwa staili hii inabidi kila baada ya mita mia moja kuwe na matuta barabara zote nchini. Inabidi mkandarasi anapopewa tenda tu aagizwe kuyaweka matuta kabisa kabla hajakabidhi barabara.

  Hatuna serikali, rushwa kwa trafiki imetufikisha hapa
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hapa wanadhibiti madereva na abiria wasiowajibika.
   
 4. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mkuu hapo mbona kutoka dar chalinze itachukua wiki 2!
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Vijijini watoto wanafundishwa kuogopa killer animals lakini hao wanaokaa urban hawafundishiwi kuogopa killer vehicles...japo kuna uzembe wa madereva lakini pia watoto hawafundishwi kuvuka barabara.anatokea ghafla wanakimbizana halafu wakifika katikati ya barabara kila mmoja anaenda upande tofauti,inakuwa ngumu kucontrol
  elimu ya utumiaji barabara ni muhimu kwa wakaazi wakao kando ya barabara kuu
   
 6. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndiko tunakoelekea mkuu kwa sababu serikali imeshindwa basi bora watuwekee matuta. kila kaya itafunga barabara kudai matuta sasa si bora wayapange mapema kabisa kuepusha nguvu ya umma? Kisa ni kwa sababu tumeshindwa kuwadhibiti madereva, na wananchi wameshindwa kuwajibisha serikali yao kutokana na ajali zinazopoteza maisha ya watu wengi na wengi zaidi kuwa vilema milele. Hivyo tunachukua short cut - matuta kudhibiti magari ambayo hayana kosa
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280

  minishalipa nauli nawajibika kufanya nini...au nimsaidie dereva kushika breki na kubadili gia????
   
 8. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Driver akiendesha mwendo mbaya ama kasi unawajibika kumwambia aendeshe kwa usalama
   
Loading...