Mbuzi azaliwa na sura ya binadamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbuzi azaliwa na sura ya binadamu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Madikizela, Apr 17, 2011.

 1. Madikizela

  Madikizela JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Jul 4, 2009
  Messages: 319
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mbuzi mmoja wilayani hapa amezaa kiumbe cha ajabu chenye sura ya binadamu.

  Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumamosi usiku katika Kijiji cha Isongole, wakati mbuzi huyo pamoja na mifugo mingine ikirejeshwa nyumbani na mchungaji aliyejulikana kwa jina la Safari Simbeye (16).

  Akizungumzia tukio hilo, Safari alisema kuwa alikuwa akiirejesha mifugo hiyo nyumbani na
  kwamba akiwa anakaribia kufika nyumbani mbuzi huyo alipata uchungu na kujifungua kiumbe
  hicho cha ajabu, “nilikibeba na kukipeleka ndani na kisha kwenda kumuita baba,” alisema na
  kuongeza kuwa kilikufa muda mfupi baada ya kuzaliwa.

  Alisema kuwa wakati anakwenda kumuita baba yake, baadhi ya watu waliokiona kiumbe hicho walianza kukusanyika kwa wingi kwa lengo la kwenda kushuhudia kiumbe hicho cha ajabu kilichozaliwa, ambapo Mzee Daniel Simbeye aliwazuia wananchi wasiingie nyumbani kwake kwa hofu kuwa wangeanzisha vurugu.

  Mwenyekiti wa Kitongoji, Mwimika Fumbo alisema kutokana na vurugu kuongezeka huku watu wakishinikiza wakione kiumbe hicho, walikitoa nje na kushuhudiwa na mamia ya watu waliokuwa wamejazana katika eneo hilo.

  Alisema baada ya kuona kuwa kuna dalili ya vurugu walitoa taarifa polisi ambao waliwasili
  katika eneo hilo wakiwa na gari lenye namba za usajili PT 0657 Toyota Landcruiser na kuondoka na kiumbe hicho cha ajabu.

  Source: HABARI LEO
   
 2. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  tunashukuru kwa taarifa. lakini ungeandika imetokea hapa nchini tungeelewa zaidi,au hapa duniani. but hapa wilayani?
   
 3. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Picha iko wapi kama evidence. Fanya homework basi utujuze.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mi mwenyewe kanichanganya.......hebu mtoa mada tueleze ni mkoa gani na ni wilaya gani
   
 5. U

  Uswe JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  preta NIMEKUMISI!
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  nimekumiss pia...nilikuwa Loliondo
   
 7. b

  binti ashura Senior Member

  #7
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu tusaidie kutujurisha wilaya na mkoa, mie nazifahamu isongole mbili, zote za mbeya yakwanza ni ile maarufu siku nyingi walikoungua waliokuwa wanachukuwa kama siyo kuiba mafuta na kuna kaburi la watu wengi waliounguwa na kutofahamika (kutambulika) kwakuwa waliunguwa vibaya ambayo ipo Rungwe na nyingine ipo ileje! sasa isongole ipi kulikotokea hayo?
   
 8. l

  lily JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa wewe ndie ulelala na huyo mbusi mwenzako! weka picha tuone basi!
   
 9. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Allahu Akbar.
   
 10. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ukiweka pict itakuwa vzuri zaidi
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,530
  Trophy Points: 280
  Makubwa haya, japo kuna daktari mmoja wa mifugo aliwashi kuniambia kuwa hata kama binadamu atafanya sex na mmanyama, siyo rahisi mnyama kupata ujauzito wa binadamu, sijui, wataalam mwayajua haya, tupeni yenu.
   
 12. U

  Uswe JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahahahaaaaaa
   
 13. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Haiwezekani Kabisa mbuzi kupata uja uzito wa mnyama mngine ao binadam. MAybe hako ka mbuzi kalizaliwa hakana manyoa usoni, ikapelekea watu kumfananisha na binadam? Ila hata kwa internet sijaona habari kama hii leo.
   
 14. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  Picha please
   
 15. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asante kwa taarifa lakini tunakuomba utujuze ni wapi kituko kilipotokea?Naamini kupata picha hiyo sio rahisi kutokana na mazingira yenyewe yalipotokea!
   
Loading...