Rais anaogopa kurushiwa kiatu kama Bush au!?

Revolutionary

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
456
86
Jamani naona sikuhizi Rais wetu anatia sana huruma katika hotuba zake, kama hana konfidens, yaani anakosa mashiko kama kiongozi! Naona huwa anaongea kama anakitu hakiko sawa, utadhani anahisi atarushiwa kiatu kama Bush hv! Tunuombee kheri na nguvu jamani!

Mungu mbariki Rais wetu!
 
Akafie mbali huko, kwani sis unafikiri tunarais aaah tunalo pupet la akina El na Ra.
 
:alien: Haya nyie si ndiyo wale mnaoamini kwenye loliondo, mpleke huko akanywe kikombe mara ya pili huenda confidence ya mwaka 2006 ikamrudia!:rant:
 
Toka lini mwizi, mnafiki, mnyonyaji, mwongo, fisadi, akawa na konfidensi????
 
Kweli uongozi wa nchi ni dhaifu, taifa linakosa nakshi ya uongozi wananchi wanakosa wa mwelekeo, nani wa kumsikiliza!? Taifa la vikombe na bajaji!
 
Toka lini mwizi, mnafiki, mnyonyaji, mwongo, fisadi, akawa na konfidensi????
Kwa kweli yasikitisha sana, naona we ni mfano wa watu wanaovyomtafsiri rais wa nchi, inafikia kipindi Rais anakosa legacy kabisa, asije toke mwananchi aliye na hasira kali akamtapua na kiatu Rais wetu kama Bush alivyofanywa!
 
Jamani naona sikuhizi Rais wetu anatia sana huruma katika hotuba zake, kama hana konfidens, yaani anakosa mashiko kama kiongozi! Naona huwa anaongea kama anakitu hakiko sawa, utadhani anahisi atarushiwa kiatu kama Bush hv! Tunuombee kheri na nguvu jamani!

Mungu mbariki Rais wetu!

NAdhani wewe utakuwa unaumwa. Tumuombee nini wkt hamna anachokifanya? Akitaka awe na amani na nguvu basi ajiuzulu tu! Vinginevyo apige kazi!
 
Aende kwa shehe Yahya amshauri cha kufanya,akaiangalie nyota yake..anaweza akamwambia 'umedhoofu sana rais wangu,...ukitaka upate nafuhu dawa ni kuifuta CDM'

JK anakiogopa kivuli cha EL
 
Jamani naona sikuhizi Rais wetu anatia sana huruma katika hotuba zake, kama hana konfidens, yaani anakosa mashiko kama kiongozi! Naona huwa anaongea kama anakitu hakiko sawa, utadhani anahisi atarushiwa kiatu kama Bush hv! Tunuombee kheri na nguvu jamani!

Mungu mbariki Rais wetu!

rais wako wewe na nani?
 
jamani tz haina rais, rais gani anashindwa kuongea? huyu jamaa nilimshangaa sana cku alipotoa hotuba ya mwisho wa mwezi,
akiwa awamu ya kwanza cku bushi alipotembelea tz. nanukuu "...amesifia sana jeshi letu .....amesema mistari imenyooka vzr...."u
kweli ndo kauli za kuwahutubia wananchi wako mwisho wa mwezi? huyu jamaa cjui alizaliwa sayari gani?
 
Aende kwa shehe Yahya amshauri cha kufanya,akaiangalie nyota yake..anaweza akamwambia 'umedhoofu sana rais wangu,...ukitaka upate nafuhu dawa ni kuifuta CDM'

JK anakiogopa kivuli cha EL

Au ni vizuri aende kwa babu kupata kikombe cha Mugariga ili aongeze konfidence!
 
jamani tz haina rais, rais gani anashindwa kuongea? huyu jamaa nilimshangaa sana cku alipotoa hotuba ya mwisho wa mwezi,
akiwa awamu ya kwanza cku bushi alipotembelea tz. nanukuu "...amesifia sana jeshi letu .....amesema mistari imenyooka vzr...."u
kweli ndo kauli za kuwahutubia wananchi wako mwisho wa mwezi? huyu jamaa cjui alizaliwa sayari gani?

Aisee sikuishuhudia hiyo, Rais anasifia Mistari ya jeshi imenyooka vizuri so what??? aisee! Bure kabisa!
 
Back
Top Bottom