Je, Askari wa Tigo wanaruhusiwa kufanya kazi za Trafiki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Askari wa Tigo wanaruhusiwa kufanya kazi za Trafiki?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Radical, Apr 18, 2011.

 1. Radical

  Radical JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 374
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu ku-search kama hii topic ishawahi zungumziwa sijaona, so 4give me if it had been discussed b4.

  Hii issue ya askari wa tigo kukamata magari ya barabarani ni sahihi kweli?
  i.e.:
  1. Mipaka yao ya kazi inawaruhusu kufanya hiyo kazi?
  2. Job description yao ni ipi?
  3. je, kwa kufanya hivyo hawaachi majukumu mengine muhimu zaidi?
  Mwenye ujuzi naomba atupe ushauri ili next time wakinikamata nijue nini chakufanya.
   
 2. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wanaruhusiwa kisheria kukamata kosa lolote ili mradi liwe la usalama barabarani au la jinai na km wamefuata sheria,ikumbukwe kuwa usalama barabarani ni kitengo (unity) ndani ya jeshi la polisi na wanapokuwa mafunzoni hufundishwa masomo yote ikiwa ni pamoja na sheria ya makosa ya usalama barabarani,hata hivyo ukisoma vizuri sheria ya usalama barabarani inaelekeza kuwa kosa lolote linapotendeka askari polisi ata........ na pia ukisoma sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai inaeleza askari polisi ni nani, ambapo inaeleza kuwa ni pamoja na mgambo anapofanya kazi chini ya uangalizi na usimamizi wa afisa wa polisi. Hivyo wako sahihi kabisa. Ukikamatwa wanajukumu la kukuhoji na ww kuwajibu na wanaweza kukuelekeza,kukuonya usirudie tena au kukufikisha kituo cha polisi kilicho karibu kwa hatua zaidi!
   
 3. Radical

  Radical JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 374
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa ufafanuzi.
   
Loading...