malkiory
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 270
- 24
Je unaishi ughaibuni? je wahitaji kutizama ITV kwenye pc yako katika kiwango cha hali ya juu? kama jibu ni ndiyo basi usikose kutembelea hapa: MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
oh it wont show me the picture ..nimedowload lakini inasema nahitaji dongle. Samahani kwa usumbufu lakini ikiwa unajua what i should do naomba msaada wako