WanaJF! HAYA YAMETOKEA MTAA WANGU {songombingo ya jamaa na mbwa} | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WanaJF! HAYA YAMETOKEA MTAA WANGU {songombingo ya jamaa na mbwa}

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Apr 18, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Haya yamejiri alfajiri ya leo hp mtaani kwangu yakwamba jamaa mmoja kuliwa na mbwa baada ya jamaa kulewa na kuingia anga la mbwa wa mzungu mmoja jrn yake,na mpk sikio moja la kulia kukatiwa chini kbs na baada ya hapo jamaa kapelekwa hosptal ya Mount Meru akiwa hoi bin taaban huku alikoacha sikio nayo ikawa kitoweo kwa BATA,lakini cha kushangaza ndg yake {KAKAYE} hakudiri hata kumpatia msaada wowote ingali alimwona mdogo wake akiwa hoi. Je? Kwa hili WanaJF huyu KAKA m2 kw maelezo niliowadokeza kwa ufupi anastahili kuwepo kwny huu ulimwengu kweli?
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nanimebahatika kupata baadhi ya picha ya jamaa alivyochakazwa na mbwa ila cjui ku2ma. Je? Ni2me vp? Naombeni mwongozo wenu WanaJF na na2mia simu aina ya NOKIA N73. Itawezekana ku2ma?
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Vituko na maajabu ni sehemu ya maisha ya binadamu! Napita tu!
   
Loading...