KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
Hivi karibuni tumesikia kauli za baadhi ya wanzibar kuwa ufisadi upo huku bara na sio visiwani.Kwanza, kama tunakumbuka vizuri sakata la mgogoro wa ardhi kati ya waumini wa kanisa la Anglikana na Fatma Amani Karume mtoto wa Rais mstaafu, inasemekana binti huyu alitwaa eneo hilo la kanisa na kuanza ujenzi bila kufuata taratibu za kisheria ikiwemo kibali kutoka manispaa ya mji wa zanbr. Pili,
Hivi karibuni Waziri wa Ardhi, Ali Juma Shamhuna alifuta hati 20 za ardhi za vigogo kadhaa katika eneo la Mombasa mjini Zanzibar likiwemo eneo liliokuwa likimilikiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Saleh Ramadhan Feruz, kwa vile maeneo hayo yalikuwa ya wazi na yalitolewa na serikali ya awamu ya sita kinyume na sheria. Hivi kuna ayeweza kupinga huu si ufisadi?