jamani jamani Nnape kasema hivi jana pale manzese

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
"Nataka niwaonye kuwa wasianzishe vita vya mawe wakati wanaishi kwenye nyumba ya vioo, tulipoanzisha vita vya ufisadi hatutanii, sababu tunayo, nia tunayo na uwezo tunao,"alisisitiza Bw. Nnauye.
hivi hawa ccm wanafikiri kuwa wananchi nimataahira? nani alianzisha vita ya ufisadi? huyu dogo mmmmh!!
 
Huyu kijana naona kama vile anakwenda RESI na sasa hivi wenye chama watampiga stop!! ANAPOSEMA walipoanzisha hii vita dhidi ya mafisadi je wakati huo alikuwa CHADEMA? Mie nakumbuka vita dhidi ya mafisadi ilianzishwa rasmi pale muembe Yanga kwa kuiweka bayana list of shame!! Au sio wanajanvi?
 
Tumbo kaka, hakuna mwanasiasa pale,hakuna chama chochote kinkongwe ambacho kitasalia madarakani, hilo ndilo unalopaswa kuliweka akilini.
 
...hivi ukuu wa wilaya katemeshwa au bado anaendelea? kama bado anaendelea, je hii sio matumizi mabaya ya kodi zetu maana i am sure analipwa mshahara wa u-DC?
 
...yale yale ya kina makamba na mpwae tambwe hiza!!! nape iz better than that ajirudi mapema
 
Huyu kijana naona kama vile anakwenda RESI na sasa hivi wenye chama watampiga stop!! ANAPOSEMA walipoanzisha hii vita dhidi ya mafisadi je wakati huo alikuwa CHADEMA? Mie nakumbuka vita dhidi ya mafisadi ilianzishwa rasmi pale muembe Yanga kwa kuiweka bayana list of shame!! Au sio wanajanvi?

NAPE ndiye aliyehoji mkataba wa Jengo la vijana Makamba akampiga stop. Kwa kiasi flani maneno yake na matendo yanalandana. Naona wako kikazi kiukweli
 
i hate politics i dont want to go crazy cause the politicians are crazy.they have to be barried facing downward in their coffins cause of their lies.they dont deserve to be called human beings.haka kajamaa kanakuja na kauli ya kuanzisha ufisadi CCM wkt kenyewe fisadi na pia nashangaa wabunge wa CCM kushangilia spika alipo ahirisha mswada wa mabadiliko ya katiba kana kwamba wao ndio walishinikiza uhairishwe au utolewe bungeni wananikera sana.yaaani unafiki mtupu inakera sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom