Naomba nimfahamu huyu Muhariri wa TZDAIMA kwa undani.
Hii imekuja baada ya Mabosi wake yaani CDM wakipambana kupinga ufisadi.Yeye anakuwa opposite side.
1)Ameoa mtoto wa karibu na mapacha wa 3...
Na Moses Mabula, Tabora
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kwamba kitendo cha Sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujivua Gamba kimeleta heshima ndani
chama hicho...
Katibu mkuu wa CCM amesema kuwa katika kikao kikuu cha halmashauri kuu ya CCM iliyokaa mjini Dodoma haikumtaja mwanachama yoyote wa chama hicho kuwa ni fisadi! Pia alitolea mfano dhana ya kujivua...
Hadi jioni hii (6:30PM tarehe 2/5/2011) watumishi wa serikali wa JMT hawajapata mishahara yao na mbaya zaidi hakuna maelezo yoyote ya kiofisi (official press release) kwamba what happened? Je...
Kuna habari za kuaminika kutoka ndani ya TANESCO Arusha kuwa mgao ulioanza tangu tarehe 1/11/2010 hadi leo maeneo ya Kimandolu ni visasi vya kisiasa vya kuwakomoa wananchi wa maeneo hayo kwa kumpa...
Mwaka 1963 baada ya Kenya kujipatia uhuru, bwana Mwai Kibaki alikuwa mjumbe kwenye 1st post independence cabinet, wakati huo Bwana Barack Obama alikuwa bado hajazaliwa kwani amezaliwa 1964. Hadi...
Pamoja na kwamba wahusika wamefumbia macho swala la kuweka Radio kwenye Bajaj na Pikipiki lakini nionavyo mimi jambo hili linahatarisha usalama wa watumiaji wa vyombo hivyo na watumiaji wa...
'Kigogo' mmoja wa Umoja wa 'Vijina' wa CCM(jina ninalo) amenidokeza kuwa kumbe yule Babu wa Loliondo ni mradi wa Waziri Mkuu Mjiuzulu,Edward Ngoyai Lowassa(Sanaa-UDSM).Amesema kuwa Lowassa...
Well done!!!Osama ameuwawa je hilo nisuluhisho la kumaliza ugaidi duniani?Kwani ugaidi nizao la marekani juu ya uislam dunia nzima hivyo wa marekani wasibweteke nakushangilia kwa kuuwawa...
heshima kwenu wa JF, Jamani nisaidieni kuhusu hili:
hivi kwa nini mara nyingi siku ya jumatatu inakuwa na foleni sana kuliko siku nyingine yoyote ya kazi? maana hata wenzangu nikikutana nao kazini...
Ni ukweli usiofichika kuwa watawala wengi wa afrika bado wana kasumba ya uchifu na utemi wa mababu zetu. Suala la kurithishana vyeo na kumiliki mali za umma limekuwa kama jambo la kawaida kabisa...
Habari ya leo wakuu!
Natafuta helikopta ya kukodi kwenda shinyanga na mwanza. Yeyote mwenye kuweza kunisaidia details , gharama..namba ya pilot...nitashukuru. Nawakilisha.
Matangazo yanayorushwa na shirika la utangazaji Tanzania upande wa Runinga yamekuwa yana katika katika kila mara kwa sie tusio tumia ving'amuzi sijui hii inatokana na nini?au ni janja yao na star...
Habari nilizozipata kutoka kwa kada wa CCM ambaye yupo karibu na Andrew Chenge ambaye ni pacha mmoja kati ya mapacha watatu wa ufisadi, ana ka-bili ka vijisenti vichache katika hoteli ya...
Wana jf ktk pita pita mitaani nimekuta vijana wa darasa la saba wakibishana juu ya mdudu nyoka pindi anapojivua gamba,
1.wengine husema huwa anabadilika hawi nyoka,
2.wengine wanasema huwa anakuwa...
IRANI YATOA DOLA MILIONI 1.2 KUSAIDIA KILIMO KWANZA NCHINI TANZANIA
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu (Kulia),akizungumza na Naibu Balozi wa Irani hapa nchini Bw Bahman...
Kwasasa vyombo vyote vya habari vya kimataifa vipo kwenyehabari za Osama hivyo NATO itafanya uhalifu juu ya binadamu kwajua watu hawawezi kupata habari kwa wakati!!Maana vyombo vyote macho na...