Babu wa loliondo ni mradi wa Lowassa?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
'Kigogo' mmoja wa Umoja wa 'Vijina' wa CCM(jina ninalo) amenidokeza kuwa kumbe yule Babu wa Loliondo ni mradi wa Waziri Mkuu Mjiuzulu,Edward Ngoyai Lowassa(Sanaa-UDSM).Amesema kuwa Lowassa alimwomba Babu ahamie Samunge ili ijengwe Miundombinu katika Jimbo lake la Monduli.Amedai kuwa Babu hakuanza kutoa 'tiba' akiwa pale alipo.Ananiambia kuwa hakuna yeyote anayeweza kupambana kisanii na Lowassa kwakuwa yeye ni msanii wa kusomea.Lowassa msanii wa kimataifa,anasisitiza.Bado naongea naye kigogo huyo
 
Ndugu Asante sana kwa kutuingiza mjini :angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry:
 
'Kigogo' mmoja wa Umoja wa 'Vijina' wa CCM(jina ninalo) amenidokeza kuwa kumbe yule Babu wa Loliondo ni mradi wa Waziri Mkuu Mjiuzulu,Edward Ngoyai Lowassa(Sanaa-UDSM).Amesema kuwa Lowassa alimwomba Babu ahamie Samunge ili ijengwe Miundombinu katika Jimbo lake la Monduli.Amedai kuwa Babu hakuanza kutoa 'tiba' akiwa pale alipo.Ananiambia kuwa hakuna yeyote anayeweza kupambana kisanii na Lowassa kwakuwa yeye ni msanii wa kusomea.Lowassa msanii wa kimataifa,anasisitiza.Bado naongea naye kigogo huyo

Mtu mzima unaongea pumba, nenda kwenye magazeti ya Udaku ukapeleke pumba zako uko.
 
Sasa the Bibi from Tabora ni Mradi wa Samuel Sitta? we need sensible articles...
 
ingekuwa pumba usingesoma wala kukomenti.sasa kama mimi naambiwa nifanyeje?
 
hujamwona wa Mbeya? Nae ni mradi wa Mwakyembe au? Kwel Jf ukiwa na presha ya kupanda waweza kufa ck c zako! Tehe tehe!
Sasa the Bibi from Tabora ni Mradi wa Samuel Sitta? we need sensible articles...
 
Mie nakuunga mkono, huyu babu kakaa kisanii sana. Na ukizingatia EL ni The King of Masterplans. Niliwahi sema hivyo mahali wakanishambulia sana. Inawezekana mtoa mada hana evidence kwa sasa lakini the whole Babu story leaves a lot to desired.
Au wanajiandaa kwa 2015 wote waliokunywa by default setting watapigia CCM.
Imekuwa too much of political issue than spiritual. The Choosen, unanishawishi kuamini its something to do with EL.
 
ingekuwa pumba usingesoma wala kukomenti.sasa kama mimi naambiwa nifanyeje?
Mkuu wa usalama hapo kwenye "sasa kama mimi naambiwa nifanyeje?patafakari upya,anyway c umesema ni tetesi tu na cc 2nazifanyia kazi unaweza kuta nikweli ati maana yule jamaa nae 2cmchukulie polepole bana .
 
Nikigundua hili chezo yeye ndio kaliandaa kwa jina la Mungu huyu jamaa nitamuogopa mbaya aaghrrrrrr!!!
 
kwa wasomaji na waandishi wa makala kama mimi,makala ikiwa na alama ya kuuliza yamaanisha kuwa mwandishi anataka majadiliano zaidi.yakwangu ipo hivyo.baada ya mimi kupiga stori na huyo jamaa nikaona bora nilete mble yenu hoja hii tuijadili.kama kusingekuwa na alama ya kuuliza would be another issue altogether.kwani nani hajui kuwa Lowassa ni msomi wa sanaa? nani hajui kuwa Lowassa aweza kufanya mambo hata yasiyotegemewa? hakwenda Thailand kununua mvua?!
 
Baada ya Lowassa kuitwa gamba,Babu wa Loliondo amepunguza kasi yake ya kutoa kikombe.Ni maelekezo ya Lowassa hayo.Lowassa nuksi kweli huyu!
 
Baada ya Lowassa kuitwa gamba,Babu wa Loliondo amepunguza kasi yake ya kutoa kikombe.Ni maelekezo ya Lowassa hayo.Lowassa nuksi kweli huyu!

Na yule fundi pikipiki anayegawa dawa akidai naye kaoteshwa ni mradi wa nani mkuu?
 
Baada ya Lowassa kuitwa gamba,Babu wa Loliondo amepunguza kasi yake ya kutoa kikombe.Ni maelekezo ya Lowassa hayo.Lowassa nuksi kweli huyu!

Kwa iyo inamaana "The Choosen" unahisi Loliondo ni "The Selected" na EL kwa ajili ya kufikisha maendeleo au co? The Gossip,ila inawezekana...
 
Kweli Tanzania tutaendelea? jamaa analeta topic za kitchen party na wanaume wamemyamazia. Tena unataka watu wazijadili.....Kichekesho.
 
Back
Top Bottom