Yo Yo ID for sale

Yo Yo ID for sale

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
Nategemea kuuza ID yangu kwa mtu yoyote mwenye uwezo na hekima kama zangu.PM me kwa usaili zaidi.
 
..........Hahahaaaa Mkuu naona kimwana cha ki-Kikuyu kimeshakuzingua.

Umenikumbusha story ya kwenye Biblia (sorry if this will offend you) ya Yakobo na kaka ake Esau, kwa Esau kuuza "utu wake" kwa bakuli la dengu......

Anyway, wateja utawapata .....wait soon utawaona

But, BIG QUESSTION, Why brother? Kuna maswahibu gani tena?
 
Acha hasira yo yo hawa ndio wabongo.
 
I cant waste my single penny!...better throw it to dogs!
 
Yo Yo yenyewe hata MDUDU haina, sasa kuna haja gani.........??

Unajua tena, kwenye MDUDU, kuna utamu ambao hata Mzee Ruksa anaupenda......

Ukitaka kuuza gari, ipige soap soap basi. Wee kimwana gani anatolewa kigoli, kiguu kimepauka kwa maji ya chumvi?

Hiyo ID wee mwachie tu dada yetu atese nayo......

Soulja-Boy-tattoo-chain.jpg

Ahhh, REAL MADRID WAJINGA, wameshinda na wameKANYAGA kombe la MFALME. RAMOS bana!!!!!
 
ushauri tu
ungemtumia babu wa loliondo amepewa simu ya blackberry amejiunga na jf ajui hiyo kitu inaitwaje waweza kunywa kikombe pitia bakuli
 
Niuzie mwana. Paka wangu kajua kufungua JF, nadhani itamfaa...
 
I cant waste my single penny!...better throw it to dogs!
you aint no power to be epic...dude i need an important person,untapped ability to achieve great things.....not category like yoo negro....
 
Nategemea kuuza ID yangu kwa mtu yoyote mwenye uwezo na hekima kama zangu.PM me kwa usaili zaidi.

Bei gani?

Proudly Kenyan..........Kumbe umeshabadili uraia? Kweli ulikuwa serious!
 
Nategemea kuuza ID yangu kwa mtu yoyote mwenye uwezo na hekima kama zangu.PM me kwa usaili zaidi.

I'd rather save my bucks for two bottles of Guiness after work, nikisubiri foleni ipungue brabarani.
 
Hiyo ID wee mwachie tu dada yetu atese nayo......

Soulja-Boy-tattoo-chain.jpg

Ahhh, REAL MADRID WAJINGA, wameshinda na wameKANYAGA kombe la MFALME. RAMOS bana!!!!!
bwahahahahaha hiyo picha ya nyani ngabu umeweka ya nni shem?...
...BTW nimeanza kushabikia WNBA...
9490e018-c714-de11-82a6-001cc494dda6_original.jpg
 
Niuzie mwana. Paka wangu kajua kufungua JF, nadhani itamfaa...
Watz acheni dharau......ndio maana mnaibiwa uku mkikuza vitambi na kujenga sifa za kijinga bar
 
Back
Top Bottom