Foleni za Jumatatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Foleni za Jumatatu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wapalepale, May 2, 2011.

 1. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  heshima kwenu wa JF, Jamani nisaidieni kuhusu hili:
  hivi kwa nini mara nyingi siku ya jumatatu inakuwa na foleni sana kuliko siku nyingine yoyote ya kazi? maana hata wenzangu nikikutana nao kazini wimbo ni huo huo, utasikia leo foleni ilikuwa balaaaaaaa. kulikoni hembu tuchangie mawazo

  thanx
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  foleni wapi sasa mkuu?
   
 3. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  ni barabarani mkuu yani ni soo, magari hutembea kwa tabu sana
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  sawa...shinyanga, new york au wapi?
   
 5. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  daaaaaaah nimekuelewa ndugu yangu, haikuwa wazi..!(asante kwa maswali yanapelekea marekebisho muhimu) ni foleni hapa dar es salaam. sasa upo tayari kuchangia??!!!!!!!!
   
Loading...