Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Helikopta ya kukodi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Slim, May 2, 2011.

 1. S

  Slim Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Nov 12, 2008
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari ya leo wakuu!

  Natafuta helikopta ya kukodi kwenda shinyanga na mwanza. Yeyote mwenye kuweza kunisaidia details , gharama..namba ya pilot...nitashukuru. Nawakilisha.
   
 2. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  ni kweli toka ujiunge jf toka 2008 ndo leo unatuma posts? kama ni kweli unatisha.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 32,054
  Likes Received: 7,071
  Trophy Points: 280
  halafu post yenyewe ni ya kukodisha helcopta, kwnza uko wapi? harare ,washington or dsm?
   
 4. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,813
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  :hurt:
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 16,667
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180

  Msaidieni jamani labda kabanwa anataka kuwahi Samunge kwa babu.
   
 6. T

  Thegreat Member

  #6
  May 2, 2011
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kwenye magazeti hasa Mwananchi kwa muda sasa kuna matangazo ya helikopta ya kukodi kwenda kwa babu, nadhani wanaweza kwenda mahali pengine zaidi ya kwa babu. Sina contact zao lakini kwenye tangazo lao kuna namba za simu.
   
Loading...