Wamarekan kumua Osama bin Laden si luhisho la ugaidi suluhisho wekeni misingi sawa!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Well done!!!Osama ameuwawa je hilo nisuluhisho la kumaliza ugaidi duniani?Kwani ugaidi nizao la marekani juu ya uislam dunia nzima hivyo wa marekani wasibweteke nakushangilia kwa kuuwawa osama,kwani osama alikuwa hajishughulishi ipasavyo kwenye ugaidi kwa sasa kuna damu changa hivyo vikundi vya ugaidi ni vingi!!Wamareka wekeni usawa katika mataifa ya kiarabu
 
Mkuu wamarekani waweke usawa gani kwenye mataifa ya kiarabu?
 
Mkuu, kwa kuwa kumuua si suluhisho, ulitaka wamuache? Safari moja huanzisha nyingine!
 
Mkuu, kwa kuwa kumuua si suluhisho, ulitaka wamuache? Safari moja huanzisha nyingine![/QAf

Africa ilianzia Tunisia,ikaja Egypt. Jana safari imeua mtoto na wajukuu wawili wa Gaddaf tukitoka hapo safari hii tunaenda Iran. Hakuna mbabe wa kutuzuia. Obama,a poor son of Africa and his allies.
 
Mkuu wamarekani waweke usawa gani kwenye mataifa ya kiarabu?
Mkuu kwanza lipatikane taifa la palestine ambalo limekaliwa na Islael miaka nenda rudi,Wamarekani waondoke kwenye aridhi ya waarabu ambapo wamarekani wameweka vituo vyao!!
 
Sasa tusubiri shura(shula) ya maimamu watangaze maandamano ya kulaani kuuliwa Osama bin Laden
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Mkuu kwanza lipatikane taifa la palestine ambalo limekaliwa na Islael miaka nenda rudi,Wamarekani waondoke kwenye aridhi ya waarabu ambapo wamarekani wameweka vituo vyao!!
sikazi ya UsA KUPIgania maslahi ya Waarabu ! Wapelestine wajipiganie
 
mkuu... kwenye huu mtandao wa alqaida ni pigo kubwa sana kwani technics walizotumia alqaeda zote zilibuniwa na osama kwa utaalam alioupata kwenye mafunzo ya CIA ..... pia somo zima la terrorism and suicide attacks (kujitoa muhanga) linahusisha brain washing ya vijana wadogo wa kiarabu .... osama ndiye aliyekuwa kiongozi wa somo hili la brain washing na hata msaidizi wake Dr. Ayman Al zawahiri alishakiri kuwa wanaupungufu wa mtu mwenye taaluma ya kuwadanganya watoto wadogo wakajitoe muhanga
 
Mkuu kwanza lipatikane taifa la palestine ambalo limekaliwa na Islael miaka nenda rudi,Wamarekani waondoke kwenye aridhi ya waarabu ambapo wamarekani wameweka vituo vyao!!
Sasa Kama Israel ndo wameikalia Palestina, USA wafanye nini? Hebu msome huyu muumini hapa chini.

sikazi ya UsA KUPIgania maslahi ya Waarabu ! Wapelestine wajipiganie
 
Mkuu tablets huyo nguvumali muhuni kwani anajua fika kikwazo ni USA Katika kupatikana taifa la Palestine!!Watoto wanawake wanaokufa kutokana na mabom ya liyotolewa na marekani niwengi hivyo msijifanye hamuoni!!
 
Mimi nawashauri waislamu wa Tanzania kuwaiga waislamu wa Uturuki, wastaarabu, wasomi wa suti, hawana mikwara nyau kama wengi wa waislamu, hawajidanganyi, hatimae wana nguvu ya viwanda na jeshi kama nchi yoyote kubwa duniani, na hawatishwi na yeyote duniani, hivi sasa Rais wa Zanzibar na Mawaziri wake wapo Uturuki kwa ziara ya serikali ya nchi ya Zanzibar, kwa siku nnne, hapo Shein kachagua rafiki mzuri,
 
Kwani haijawahi kutokea kutangazwa kuwa Osama kakamatwa? Na akiwa siye?
Mi hadi saivi
 
Mimi nawashauri waislamu wa Tanzania kuwaiga waislamu wa Uturuki, wastaarabu, wasomi wa suti, hawana mikwara nyau kama wengi wa waislamu, hawajidanganyi, hatimae wana nguvu ya viwanda na jeshi kama nchi yoyote kubwa duniani, na hawatishwi na yeyote duniani, hivi sasa Rais wa Zanzibar na Mawaziri wake wapo Uturuki kwa ziara ya serikali ya nchi ya Zanzibar, kwa siku nnne, hapo Shein kachagua rafiki mzuri,

ingewezekana ningekugongea like kumi
 
Sasa Kama Israel ndo wameikalia Palestina, USA wafanye nini? Hebu msome huyu muumini hapa chini.

Story zenu pigeni niachieni israel kama ilivyo.mm nafiri sasa USA tukimalza Libya twende Iran maana naona Ahmaddinijad anamake noise sana na nuclear asiyokuwa nayo
 
Sasa USA ni bora tukimaliza libya tuelekee Iran maana ahmadnijad anamake noise sana na nuclear yake isiyorutubika kwa ndoto za kuifuta israel ,ndo maana ya kuwa super power bana "waislam ni bora tuandamane baada ya swala tul'jumaa kupinga kifo cha mpigania dini mwenzetu takbir......."
 
Back
Top Bottom