Bara la africa na mustakabhali wa uongozi wetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bara la africa na mustakabhali wa uongozi wetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rodgers, May 2, 2011.

 1. R

  Rodgers Senior Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Mwaka 1963 baada ya Kenya kujipatia uhuru, bwana Mwai Kibaki alikuwa mjumbe kwenye 1st post independence cabinet, wakati huo Bwana Barack Obama alikuwa bado hajazaliwa kwani amezaliwa 1964. Hadi leo kiasi cha miaka kama 48 hivi, bado mheshimiwa Kibaki yuko kwenye ulingo pamoja na Barack Obama.

  Kuna chaguzi nyingi feki zinazofanyika hapa Africa ambazo zimezaa viongozi wengi ambao wamesambaa kwa uwiano sawia kwenye bara zima kana kwamba maraisi hao wamezaliwa na mama mmoja. Africa mashariki tuna Yoweri Museveni 1986, kusini tuna Robert Mugabe 1980 na Dos santos wa Angola 1979. Africa ya kati tuna Denis soso Ngueso wa Congo 1979, Nguema wa equatorial Guinea, Paul Biya wa Cameroon nk
  Africa magharibi alikuwepo Eyadema, kaskazini kina Mubarakh nk

  Tusipokuwa waangalifu hata huku kwetu wataachia watoto wao kama dalili zinavyoashiria
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Waafrika ndo tulivyo. Inasikitisha!
   
Loading...