Serikali ya ccm imefulia?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya ccm imefulia??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tanga kwetu, May 2, 2011.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Hadi jioni hii (6:30PM tarehe 2/5/2011) watumishi wa serikali wa JMT hawajapata mishahara yao na mbaya zaidi hakuna maelezo yoyote ya kiofisi (official press release) kwamba what happened? Je, serikali yetu imefulia? Normally mishahara wa watumishi hawa hutoka kati ya tarehe 20 na 24 ya kila mwezi.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Poleni sana!
   
Loading...