Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WanaJf Habari za Mchana kutwa! Nilihudhuria Sherehe za Mei Mosi, mahala furani kimsingi hapo ilikuwa ni maadhimisho ki-wilaya. Walimu walikuwa wamepangwa kutumbuiza kwa Mashairi na Ngonjera ki...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
kwa wale wapenzi wa kufuatilia Loliondo, Taarifa hii hapa. Fuatilieni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Barrick kuanzisha mgodi mpya Mwakitolyo Wednesday, 11 May 2011 20:13 Zulfa Mfinanga, Shinyanga Mwananchi KAMPUNI ya African Barrick Gold Mine, ina mpango wa kuanzisha mgodi mwingine wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
NA PDIDY KAMA MNAKUMBUKUMBU YA ZILE KAMPUNI ZILIZOZALISHWA BAADA YA WIZI WA EPA HII KAMPUNI IPO KWENYE LIST NAONA BAADA YA KUONA VIPI IMEONGEZA JUHUDI WATANZANIA WAIPENDE NA KUSAHAU ILIPOTOKEA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakika nimesoma katika magazeti ya huko Tanzania yanabainisha kuwa BEI ya Kikombe cha Babu (Mchungaji Mwasapila) wa huko Samunge Loliondo kimepandishwa bei kwa wageni lakini wazawa bai ile ile TSh...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mara baada ya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi chuo cha CBE,ijumaa iliyopita,na rais kupatikana ambaye ni mwanachadema,Naape amekuwa akichochea na kuivuruga serikali chuoni hapo,kwa lengo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani kwa watu wa imani zote naombeni msaada wa maombi yenu. Miaka ya hivi karibuni kuna roho ya chuki mbaya imeibuka moyoni mwangu dhidi ya binaadamu mwenzangu. Kabla ya Mkapa na kikwete...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Japo mie ni boss wenu lakini ndani ya jf ni mgeni! Tafadhari ndugu zangu naomba ushirikiano na mwongozo wa jf!!!
0 Reactions
4 Replies
959 Views
Jamani hii biashara ya mikokoteni barabarani inakera sana Kunasiku nilikwanguliwa gari yangu mpya na mkokoteni, na ilikuwa kwa makusudi mazima. huyo mwenye mkokoteni hata kukulipa hawezi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Na unajisikiaje kutupa taka hovyo Jana nimeshuhudia MJbaba mmoja yuko kwenye gari moja bomba kafungua dirisha karusha uchafu nje tena katikati ya barabara ya kinondoni Hivi hatuwezi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
wiki iliyopita niliona report ya transparent international kuhusu rushwa nilihuzunika sana kuona Tanzania ina 28% ya rushwa, Kenya 32% na Rwanda 6.6% . Hivi raisi wetu amelogwa? mbona Tanzania...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jana kwenye taarifa ya habari ya channel 10 kuna habari ya kusikitisha juu ya wananchi wa serengeti ambao wanapakana na hifadhi hiyo,Kundi kubwa la tembo limevamia na kuharibu ekari nyingi za...
0 Reactions
1 Replies
754 Views
isack newton alisema "we are where we r by standing on the shoulders of the giants" nakubali kwamba haya ninayoandika nimeyapata kutoka makala tofauti tofauti na nimechanganya na mawazo yangu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ijumaa iliopita Wajumbe wa baadhi ya Mitaa ya VIJIBWENI walikutana kujadili upanuzi huo,na jana walikuwa wanakagua mipaka bandari itakapoishia. je program itakayo chukua muda gani mpaka kuhamisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kambi ya jeshi Chandamali inateketea kwa moto Songea... moto ueanza kuwaka mida ya saa tano.. watu mlioko huko tujuzeni.. hali siyo swari mwenye data
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Kiwanja hiki ni Makumbusho ya Azimio la Arusha, kipo Igogo Mwanza, UVCCM wanataka kubadili matumizi ya kiwanja hiki, kiwanja hiki kimejengwa, na wala sio mali ya CCM, kwani Azimio la Arusha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ninapata wasiwasi na kuwa na maswali mengi yasiyo na majibu hasa ninapojiuliza juu ya dhana ya ccm kujivua magamba. wasiwasi wangu ni jinsi gani hawa ccm waliweza kuishi na viumbe wenye magamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zanguni hili lazima tuwaweke sawa hawa wahindi kuna jamaa zangu wiki iliopita walikodisha ukumbi wakaomba na vinywaji ..kwenye makubaliano kulikuwa na koka kola gafla wakati wa shuguli...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkuu wa nchi anapozungumza kwa kuchanganya lugha kwa nchi inayotumia kiswahil kama ndiyo lugha ya taifa,nini anakusudia?nini tujifunze kwake.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mbeya imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Kamsamba Wilaya ya Mbozi, Geofrey Christopher ( 22) kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia ya mauaji. Jaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…