Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana JF kumekuwa na kawaida ya kiti cha spika, kuwaomba uthibitisho wabunge wa upinzani pale wanapotoa hoja nzito zinazoihusu serikali ya CCM, Lakini cha kushangaza ni pale wakipewa vithibitisho...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kapteni John akiwasilisha mchango wake leo kwenye Bunge kuhusu Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara na akisema kwa uchungu kuwa kwa jinsi Serikali ilivyowatendea wananchi wa jimbo lake hata...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mara ya mwisho nimesikia wale samaki walichukuliwa na kwenda kufanyiwa uchunguzi katika kitengo cha mionzi huko Arusha, tokea hapo sijasikia chochote juu ya uchunguzi huo na chochote kuhusiana na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Never give up mtoto wa mfugaj msani Chuma Chakavu Msema hovyo Lukolo Na wengine walioifungua link niliyoitoa Nilianzisha thread ambayo imeonekana kua inashtua, especially kwa watu wenye matatizo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
TRA ndo kama hamna Ma IT MSEME kila siku network mbovu. Tatizo mnapeana Ajira
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna tetesi kuwa mwandishi wa habari amefariki katika mazingira ya kutatanisha mwanza. yasemekana ni kwa ajili ya kufuatilia habari za kisiasa. naomba fuatilieni zaidi. source: STAR TV
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wetu yupo nchini au? Mbona sisikii chochote kutoka kwake wananchi tunateseka na mafuta.
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Nimezunguka vituo vyote vya mafuta katika mji wa Kahama ili kujinunulia mafuta lakini sijafanikiwa. My take: Serikali legelege ya CCM yaweza angushwa kwa tatizo hili. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fananisha na kutofautisha kati ya pair mbili za hawa marais;(J.K.NYERERE&B.W.MKAPA) VS (J.M.KIKWETE&A.H.MWINYI).Tumia vigezo vyovyote upendavyo.
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Kwa imani yangu huyu jamaa angekuwepo madarakani hawa jamaa wa mafuta wangeona Tanzania chungu...AKITOKA NYERERE KWA MAAMUZI ANAFUATA MKAPA anakuja Mwinyi kwa kuuza loliondo kwa waarabu, then...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Nasubiri maoni yenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bora lowasa kuliko pinda kwani pinda umewaangusha wananchi wako,kikwete umeshindwa kuonyesha nikitugani unakipa kipa umbele!Viongozi wasiyo weza kusema kitu juu ya sakata la mafuta wakati wanaona...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani Au ndo jinsi ya kumaliza foleni Dar Huku Arusha pamenuka
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kampuni za OILCOM,CAMELOIL,BP na ENGEN zimepewa masaa 24 kusitisha mgomo wao na kuanza kuuza mafuta kwa bei rasmi iliyotangazwa na Ewura.Endapo watakaidi amri,Ewura imetishia kuziburuza...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wanajamvi mwenye habari kuhusu maendeleo ya kuumwa waziri mwandosya atujuze. Maana tetesi bajeti ya wizara ya maji itasomwa na stephani wassira tarehe 22/8/2011
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania mh. William Ngeleja nathubutu kusema ana roho ya 'PAKA' (roho NGUMU sana)!! Kwa kweli anastahili kuingia katika Guinness World book of records kwa kuweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete asubuhi ya leo, Jumanne, Agosti 9, 2011, amempokea mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya Somalia, Mheshimiwa Sheikh Sharif Sheikh...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Jamani, naangalia luninga yangu hapa; namsikia Mwenyekiti wa Bunge akiwatambulisha wageni, anawaambia wageni kwamba mbunge wao wa Mtera, Livingstone Lusinde anafurahisha sana Bungeni, na kwamba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
jamani tusaidieni ipo siku tutafunikwa, hili jengo la habour view tower nina wasiwasi na viwango vyake. upande wa ofisi yetu kulikuwa ni 'parking' hawa wenye jengo wakafanya marekebisho sasa ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanza kabisa natanguliza samahani kwa kuandika kichwa cha habari tofauti na "mantiki" yenyewe. Nia yangu ni kutaka kuwavuta wasomaji wafungue thread hii ili katka hao wengi watakaofungua wapo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom