Twambieni Wana Mbinga Heri Tuamie Malawi Tujue Moja - Kapten John Komba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Twambieni Wana Mbinga Heri Tuamie Malawi Tujue Moja - Kapten John Komba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DSN, Aug 10, 2011.

1. DSN

DSN JF-Expert Member

#1
Aug 10, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 2,745
Likes Received: 76
Trophy Points: 145
Kapteni John akiwasilisha mchango wake leo kwenye Bunge kuhusu Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara na akisema kwa uchungu kuwa kwa jinsi Serikali ilivyowatendea wananchi wa jimbo lake hata katika swala la Sukari amabyo ni kitu cha muhimu sana kwa maisha ya Watanzania.

Hivyo kwa kuwa Serikali inawabana sana wakazi,wa Mbinga kujihusisha na kuchukua baadhi ya bidhaa kama sukari na kuyafanya maisha ya wana Mbinga ambao kijografia hiko karibu na Malawi kuwa magumu.

Hivyo anashauri ni vyema wakawaambiwa waamie Nchi ya Malawi kulikoni kutendewa hayo ndani ya Nchi yao,amabyo inasema ina Serikali sikivu.

Hakika sikuamini hata komba leo anasimamia ukweli pamoja na kuwa yeye ndiye kinala wa nyimbo [masongi] ya kikada ya CCM.Ama kweli nyakati uonge [Time will tell].

"Tieni tieni tieni kwa Moyo mmoja Nambari one eeeeeeeehh nambari one ni Tanzaniaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!

"Wabunge wamechukua wameweka Serikali Chaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!

2. DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

#2
Aug 10, 2011
Joined: Nov 13, 2009
Messages: 11,627
Likes Received: 4,731
Trophy Points: 280
Kaamka saa ngapi tena huyo bingwa wa kuuchapa usingizi?

3. Mamndenyi

Mamndenyi JF-Expert Member

#3
Aug 10, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 29,105
Likes Received: 6,571
Trophy Points: 280
Anajua yatakayomkuta hapo baadaye, kweli alilala fofofo, wakati jimbo lake wanalia na umeme na mafuta yeye bado yuko na sugar tu, ndo matokeo ya kulala hajui what is going on hapa tz.

4. olele

olele JF-Expert Member

#4
Aug 10, 2011
Joined: Dec 2, 2010
Messages: 814
Likes Received: 339
Trophy Points: 80
Akikurupuka toka usingizini husema alichokua anakiota, leo angalau malaika anayehusika na ndoto ana akili

5. wijei

wijei JF-Expert Member

#5
Aug 10, 2011
Joined: Jun 11, 2011
Messages: 469
Likes Received: 26
Trophy Points: 45
Sasa anaogea nini huyo,liache unafiki! Kwa hiyo leo linasema kwamba bora wahamie malawi kwa sababu serikali ni legelege, kesho likikurupuka linasema wapinzani wanaosema hivyo waongo.pumbaffffffffffffffff

6. bushman

bushman JF-Expert Member

#6
Aug 10, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 2,312
Likes Received: 67
Trophy Points: 145
lLEO HAKUUCHAPA USINGIZI NINI NIMESHANGAA KUSIKIA KAONGEA HOJA NZITO KAMA HIYO KWA MBUNGE SAMPULI YA KOMBA KWELI LEO AMEOTA NDOTO NZURI JAMAA,LAKINI BADO NI MZIGO JAMAA NI KITUKO TU......................................

7. Said Bagaile

Said Bagaile JF-Expert Member

#7
Aug 10, 2011
Joined: Jun 23, 2011
Messages: 686
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Mh. Masaburi, haya mwingine huyo anayefikiri kwa kutumia ile sehemu yako unayosemaga.

8. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#8
Aug 10, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,479
Likes Received: 12,758
Trophy Points: 280

UKIONA HIVYO YUPO KWENYE SWAUM HAKUKESHA KI_DARINI WALA CHAKO NI CHAKO!!! AF HUKO MBINGU,I MEAN MBINGA WAMEMCHIMBA MKWALA HAWAMPI KULA(KURA) TEEENA NDO USIKU KUCHA AKAKARIRI KITU CHA KUMUOKOA !!! HIHIIII ASEE KUMBE UBUNGE RAHA SAAANA LOOL

9. Chitemo

Chitemo JF-Expert Member

#9
Aug 10, 2011
Joined: Feb 25, 2011
Messages: 1,293
Likes Received: 14
Trophy Points: 135

ndo hapu sasa na mi nikamshangaa pale pa kumaliza na kusema naungi mkonu hoja iliyu mbeli mwishi akapigi mwayu na kutunda chihuni pyuuuuyuu mpaka vayaki vapala kuntila pa atemi Ko

10. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#10
Aug 10, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,479
Likes Received: 12,758
Trophy Points: 280

HAHAHAHA MBAV ZANGU WEEE

11. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#11
Aug 10, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,479
Likes Received: 12,758
Trophy Points: 280

12. p

pori Member

#12
Aug 10, 2011
Joined: Mar 12, 2010
Messages: 86
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
huyo ndiye Kapteni bwana, a.k.a 'nyumbi ii bombi ii'.

13. Tangawizi

Tangawizi JF-Expert Member

#13
Aug 10, 2011
Joined: Jun 25, 2009
Messages: 2,835
Likes Received: 927
Trophy Points: 280
Ship is in the mid of chaotic ocean! Msaada kwa captain please

14. Fasouls

Fasouls JF-Expert Member

#14
Aug 10, 2011
Joined: Jun 24, 2011
Messages: 922
Likes Received: 60
Trophy Points: 45
Hyo ni nambari wan ya kuchapa usngizi

Loading...