Ubora wa ppf - tz!

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
571
156
Kwanza kabisa natanguliza samahani kwa kuandika kichwa cha habari tofauti na "mantiki" yenyewe.
Nia yangu ni kutaka kuwavuta wasomaji wafungue thread hii ili katka hao wengi watakaofungua wapo wachache watakaokuwa na majibu ya ombi langu.

Naomba mtu yeyote anipatie namba ya simu ya mfanyakazi yeyote wa PPF (PPF HOUSE - Dar). Anipatie ili niwasiliane naye anisaidie kitu fulani. Lkn kabla ya kunipatia namba hiyo naomba amwombe kwanza ruhusa mwenye namba hiyo ili isije ikawa kesi!

Niko Tanganyika ambapo ofisi hiyo haipo.

Natanguliza shukrani.
 
nakushauri tembelea tovuti yao na uchukue simu zao. naona watu kimya.
 
nakushauri tembelea tovuti yao na uchukue simu zao. naona watu kimya.

Kwenye website yao cjaona namba zao za simu.
Cjui nao wana website nyingi?

Nashukuru kwa ushauri wako!

Watu wako kimya, nadhani wanatafakari watoke vp ktk sakata hili la NGELEJA (umeme na mafuta).
 
Back
Top Bottom