Mwenye habari atujuze

luckyperc

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
495
46
Wanajamvi mwenye habari kuhusu maendeleo ya kuumwa waziri mwandosya atujuze.

Maana tetesi bajeti ya wizara ya maji itasomwa na stephani wassira tarehe 22/8/2011
 
Hiyo dili mtafute Shigongo na magazeti yake ya udaku!
Akifa ndo mtaweka kwenye daily news...?? Ndo wale wale wa kuwashiti wagonjwa lakini siku wakifa mnaleta makamera ya video na majeneza ya mamilioni.............
 
Back
Top Bottom