Udhaifu wa kiti cha spika waonekana

Michael Scofield

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
1,225
471
Wana JF kumekuwa na kawaida ya kiti cha spika, kuwaomba uthibitisho wabunge wa upinzani pale wanapotoa hoja nzito zinazoihusu serikali ya CCM, Lakini cha kushangaza ni pale wakipewa vithibitisho walivyoomba wanagwaya kutoa maamuzi.
Leo mh Sakaya, alimuomba muongozo naibu spika juu ya vithibitisho alivyovileta bungeni ambavyo mpaka leo havikutolewa muongozo.
Bahadhi ya miongozo iliyopo kwa spika ni ile inayowahusu:
1]Mh Kabwe Zitto
2]Mh Kafulila
3]Mh Mchungaji Msigwa
4]Mh Sakaya. N.K

Wakati wanawaomba uthibitisho na muda anatoa. Ajabu spika akipewa uthibitisho anakuwa bubu...a? sielewi?

JE! NDUGU ZANGU HUU SI UDHAIFU?

NAOMBA KUWASILISHA.
 
Ni njia yakujilinda ili mabayao yasionekand ila bado hawataweza
 
Nalazimika kuangalia kipindi cha bunge kwa ajili ya wapinzani tu, unless toka aingie dada nilikuwa nimeaamua kutoangalia binge for five years.
 
Hawa wana mwisho wao tu tena sio mbali,Wabongo jichangeni fasta fasta kabla mtalii hajarudi.
 
Hizo ndiyo nafasi za favour zinavyotuletea madhara
Wana JF kumekuwa na kawaida ya kiti cha spika, kuwaomba uthibitisho wabunge wa upinzani pale wanapotoa hoja nzito zinazoihusu serikali ya CCM, Lakini cha kushangaza ni pale wakipewa vithibitisho walivyoomba wanagwaya kutoa maamuzi.
Leo mh Sakaya, alimuomba muongozo naibu spika juu ya vithibitisho alivyovileta bungeni ambavyo mpaka leo havikutolewa muongozo.
Bahadhi ya miongozo iliyopo kwa spika ni ile inayowahusu:
1]Mh Kabwe Zitto
2]Mh Kafulila
3]Mh Mchungaji Msigwa
4]Mh Sakaya. N.K

Wakati wanawaomba uthibitisho na muda anatoa. Ajabu spika akipewa uthibitisho anakuwa bubu...a? sielewi?

JE! NDUGU ZANGU HUU SI UDHAIFU?

NAOMBA KUWASILISHA.
 
Mbona ulionekana kabla hata hajakikalia.
Hakuna kitu pale ni myeyusho tu!
 
inatakiwa wabunge wamshinikize huyu bint ajibu miongozo yote kabla bunge kuisha tujue moja , kama anaona mambo magumu aachie ngazi sio kuendelea kushikilia wathifa mkubwa hivvo kwa maslai ya wachache , na wakati hicho kiti kinatakiwa kiangalie maslai ya wananchi.
what a rubbish woman!! yupo bungeni toka nyerere ila mchango wake ni kama nguvu za giza!!

"changes begins wt u"
 
...Me I wish mtu aliyesoma na yule mama sekondari sijui Tabora girls sijui kilakala na huko IDM Mzumbe enzi hizo atuelezee japo kwa ufupi tu alikuwa mtu wa namna gani darasani. Nashawishika kuamini kuwa huenda alikuwa mtu wa kukariri sana masomo ili aweze kufaulumitihani yake. Kwani hata hiki kiti cha uspika sioni kama ni mtu anayetumia brain yake kupambanua mambo ili kufikia maamuzi. amekariri tu kuwa wabunge wa magamba ndio wenye kupewa fursa na hata kurusu matamshi ya hovyo bila kufanya lolote lakini wanapokuja wabunge wa upinzani ni mikwara kibao....Hamna kitu pale....Lol
 
Kama kiti cha spika kilitaka uthibitisho toka kwa mtoa hoja na akathibitisha, kwanini maamuzi yasitoke? Ina maana alikuwa anatishia nyau! Pale tunapoteza mua wetu bure, yule si lolote wala chochote, nakumbuka shule ya msingi tulikuwa tukiwaita SETI TUPU! Au Zero!
 
Back
Top Bottom