We miss you Mkapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

We miss you Mkapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BABA JUICE, Aug 8, 2011.

1. BABA JUICE

BABA JUICE JF-Expert Member

#1
Aug 8, 2011
Joined: Sep 5, 2010
Messages: 427
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Kwa imani yangu huyu jamaa angekuwepo madarakani hawa jamaa wa mafuta wangeona Tanzania chungu...AKITOKA NYERERE KWA MAAMUZI ANAFUATA MKAPA anakuja Mwinyi kwa kuuza loliondo kwa waarabu, then ndugu yetu kikwete kwa kuwaleta brazili Tanzagiza. kiongozi ni mtu wa namna gani?ni mtu mwenye maamuzi madhubuti wakati wa shida na matatizo.

2. Mupirocin

Mupirocin JF-Expert Member

#2
Aug 8, 2011
Joined: Jan 28, 2011
Messages: 1,596
Likes Received: 33
Trophy Points: 145
Ni kweli kabisa mkuu, mkapa angekuwepo fyokofyoko zote hiz zingeisha. Aliweza kufukuza mdaktari pale Muhi2 na kuleta wanajeshi though perfomance ilipungua lakin alithubutu. Aliwahi kuwambia walimu wakigoma wote anawafuta kazi walimu waltii amri na lengo lake alitaka kuchukua form6 waliomaliza muda ule. Sasa jamaa yetu hawezi hata kuthubutu wauza mafuta wanagoma sijawahi ona. Kaz tunayo mpaka 2015 tutaona mengi.

3. Prodigal Son

Prodigal Son JF-Expert Member

#3
Aug 8, 2011
Joined: Dec 9, 2009
Messages: 963
Likes Received: 60
Trophy Points: 45
Kumbuka waliokuwa wanamtukana Mkapa alipotoka madarakani aliwajibu kwa kuwaambia soon MTAMKUMBUKA, na hapa ni mwanzo bado, jamaa alikaa madarakani miaka10, sukari -nyama,-mchele, saruji, mkate havikupanda bei kiholela.

Soon mtanunua mafuta lita moja kwa elfu tano

4. njiwa

njiwa JF-Expert Member

#4
Aug 8, 2011
Joined: Apr 16, 2009
Messages: 11,078
Likes Received: 1,817
Trophy Points: 280
Kumbukeni wakati wa mkapa mafisadi ndio walijificha

kipindi cha mkapa alitajirisha watu wachache mno

shukran ziende kwa jakaya!! katika kipindi chake mafisadi woote walianikwa wazi... aliwapa uhuru watu kufanya uchunguzi na kutangaza hadharani fullani ni fisadi

kama mkapa angekuwa madarakani leo hii skendo zote zingeingizwa kapuni...

5. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#5
Aug 8, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160
kinachotakiwa sio maamuzi ya jk wala kukumbuka waliopita hapa cha muhimu ni kumfuata jk na kumuambia achagua kuondoa giza au kusepa maana tumichoka..

yaani tz kama shamba la bibi kila mtu anamaamuzi halafu mjomba anasikilizia tu..

6. Mshume Kiyate

Mshume Kiyate JF-Expert Member

#6
Aug 8, 2011
Joined: Feb 27, 2011
Messages: 6,774
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Sema I miss you mkapa! Watanzania wanamkubuka kwa kuuza Migodi yetu kwa Wazungu.
Na kuwakabidhi wawekezaji Nchi, hata kwenye kundi la wajinga ukiwapa mtihani wafanye lazima kuna mmoja hatawazidi wajinga wenzake

7. B

Bajabiri JF-Expert Member

#7
Aug 8, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

kuajiri form 6 unadhan ni kujenge au kubomoa????kuajiri wanajesh si suluhisho,kwan hao watawala wanaenda muimbili????mkapa huyohuyo aliamua kuwaleta netgrup solushen unajua kilichofuata????mkapa huyo ndo alokubali mikataba fyongo ya madini,then what next,nachoona hakuna afadhal,hawa wana ccm wanatuuumiza sana,maana hata EPA ilikua chini ya MKAPA,na sasa mahela mengine yanapotea chini ya JK,,,,,,am missing the best president in my country,we need somebody like mussolini or adlf hittler

8. B

Bajabiri JF-Expert Member

#8
Aug 8, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

yaani chatu,,,,,,,huyu jamaa ananishangaza sana,anaposema we miss mkapa,we miss vest presidaaa,na si watu kama mkapa o JAHKAYA

9. M

Mjenda Chilo JF-Expert Member

#9
Aug 8, 2011
Joined: Jul 20, 2011
Messages: 1,425
Likes Received: 63
Trophy Points: 145
I miss Mkapa big time, he was The Presdent of The United Rep of TZ. A man with authority. My PREZDA

10. Mshume Kiyate

Mshume Kiyate JF-Expert Member

#10
Aug 8, 2011
Joined: Feb 27, 2011
Messages: 6,774
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Comrade Bajabiri, huyu jamaa inawezekana ni shemeji yake na Mkapa!

11. B

Bajabiri JF-Expert Member

#11
Aug 8, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Namshangaa anavomsifia mkapa kias hiko,yaan kuna maeneo mkapa ameboronga hadi kichefuchefu,,,,,,,,,,

12. njiwa

njiwa JF-Expert Member

#12
Aug 8, 2011
Joined: Apr 16, 2009
Messages: 11,078
Likes Received: 1,817
Trophy Points: 280
umeona mkuu... anahitaji afanye marekebisho heading yake ... aweke UMOJA na SI WINGI

13. B

Bajabiri JF-Expert Member

#13
Aug 8, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Sure,to me I'll miss mkapa kwa kufanya maamuzi magumu ya kuiuza nchi kwa MAKABURU ambao leo ndio wanaipa serikali saa 24,wahindi wanaoiibia nchi watakavyo,wahindi wakapata na nguvu ya kuzama hadi bungen

14. NGUVUMOJA

NGUVUMOJA JF-Expert Member

#14
Aug 8, 2011
Joined: Jul 1, 2011
Messages: 1,353
Likes Received: 10
Trophy Points: 135
Mkapa alipovunjika mguu alitibiwa na wanajeshi MOI

15. killo

killo JF-Expert Member

#15
Aug 8, 2011
Joined: Jul 13, 2008
Messages: 393
Likes Received: 64
Trophy Points: 45
mmmmh......!!!!!! Kila mtu n mtazamo wake

16. killo

killo JF-Expert Member

#16
Aug 8, 2011
Joined: Jul 13, 2008
Messages: 393
Likes Received: 64
Trophy Points: 45
Kila mtu n mtazamo wake

17. ADUI

ADUI Member

#17
Aug 8, 2011
Joined: Aug 6, 2009
Messages: 82
Likes Received: 1
Trophy Points: 13
Mimi naamini suala ni kwamba kiongozi kama kiongozi inabidi awe na msimamo fulani na kauli pia, hata kama msimamo huo ni wa ajabu lakini ni kwamba kuna kitu anasimamia, anakitetea na hayumbishwi. Sasa ukikuta kiongozi haeleweki msimamo wake ni upi, kipi anachokitetea hata kauli hana hapo ndio mashaka hutuingia wananchi juu ya uwezo wa kiongozi husika.

18. Kunta Kinte

Kunta Kinte JF-Expert Member

#18
Aug 8, 2011
Joined: May 18, 2009
Messages: 3,660
Likes Received: 215
Trophy Points: 160
Yaa ni kweli yapo maeneo ameboronga lakini asingeweza kuchezewa kiasi hiki na hawa matajiri wa mafuta, ni mtu aliyekuwa anajua yeye ni nani na nalikuwa anajua madaraka aliyonayo, huyu wa sasa inelekea hajielewi!!

19. Graph Theory

Graph Theory JF-Expert Member

#19
Aug 8, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 3,809
Likes Received: 1,129
Trophy Points: 280
Licha ya mapungufu kadhaa ndani ya utawala wake, kwangu mimi MKAPA ndiye RAIS nitakayemkumbuka daima.

20. Jilanga

Jilanga JF-Expert Member

#20
Aug 8, 2011
Joined: Feb 13, 2011
Messages: 254
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
pamoja na kufichua mafisadi amewachukulia hatua gani zaidi ya kupoteza rasilimali za watz kufinance tume kibao kila kukicha bila mafanikio yeyete! Jk is too coward sijapata kuona! Hashauriki juu ya masuala muhimu ya Kiuchumi na ndo maana gharama za misha zinapanda kila leo!
Mkapa hongera sana mzee wetu!

Loading...