Baniani mbaya Lakini kiatu chake dawa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baniani mbaya Lakini kiatu chake dawa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Aug 10, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Bora lowasa kuliko pinda kwani pinda umewaangusha wananchi wako,kikwete umeshindwa kuonyesha nikitugani unakipa kipa umbele!Viongozi wasiyo weza kusema kitu juu ya sakata la mafuta wakati wanaona wananchi wanapata tabu!nibora mseme na mkemee tabia hii kwani msipo sema neno lolote ndo mwanzo wakuwa watu wanajiamlia wanavyotaka kwani wanajua serikali ni legelege.
   
Loading...