Samaki wa mionzi-tamko la serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samaki wa mionzi-tamko la serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Raimundo, Aug 10, 2011.

 1. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,567
  Likes Received: 10,803
  Trophy Points: 280
  Mara ya mwisho nimesikia wale samaki walichukuliwa na kwenda kufanyiwa uchunguzi katika kitengo cha mionzi huko Arusha, tokea hapo sijasikia chochote juu ya uchunguzi huo na chochote kuhusiana na wale wengine ambao walikuwa tayari wako mtaani (zaidi ya kilo 1000).

  Mwenye taarifa yoyote kuhusu samaki wale tafadhari, mi mpaka sasa sijui kama nianze kula samaki au la.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,025
  Likes Received: 5,193
  Trophy Points: 280
  bora usile!
  Saa hz wapo busy kutafuta wese mtaani.
  Wakikumbusa samaki tayari too late!
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  nchi hii bwana EPISODES haziish halafu zote ni nzuri
   
 4. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,385
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 160
   
 5. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Very interesting...hivi na ile uamuzi wa jairo bado tu?? Daaah hii serikali legelege vp jmani?
   
 6. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,567
  Likes Received: 10,803
  Trophy Points: 280
  Leo nilisikia bungeni Mnyika aligusia kuhusu tamko la Waziri Mkuu la kwamba mpaka bajeti ya kina Jairo inarudi bungeni itakuwa tayari tume imeundwa ya nini kifanyike kutatua tatizo la mgawo, mwenyekiti wa bunge kamwambia avute subira mpaka iyo tar 13 August chochote kinawweza kuwa kimefanyika. Kweli?
   
 7. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 1,852
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Mimi niliwahi kukaa Japani kwa miezi kama sita hivi. Mboga rahisi kule ni kuku tena vipapatio. Samaki kilo bei ya kufa mtu karibu Tsh 15000/= sasaiweje wavue samaki hao wawasafirishe kuwaleta katika nchi ambayo bei ni karibu ROBO?!!!!!!!!!!!!!!!!. Haiwezekani jata kidogo labda waseme kuwa samaki hao walivuliwa hapa hapa Bongo kwa dhana zao nzuri ambazo wavuvi wetu hawana. Vinginevyo maelezo yeyote sikubali kabisa
   
 8. Rashdind

  Rashdind Senior Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  hongera zako bana!!!.
   
Loading...