Kikwete yupo nchini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete yupo nchini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mamanalia, Aug 10, 2011.

 1. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Rais wetu yupo nchini au? Mbona sisikii chochote kutoka kwake wananchi tunateseka na mafuta.
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha !!
  Abaki nchini achekwe?
  Nafikiri sasa anakata anga kuelekea Marekani kuhimiza uwekezaji
   
 3. K

  Kanda ya Ziwa Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  siyo rais wetu bwana!!!!! tz hatuna rais ! tumechoka nasema tena tumechoka na JK
   
 4. I

  Igangilonga Senior Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 121
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi hata sijui niseme nini kuhusu huyu jamaa ambavyo hayuko serious na mambo ya msingi.... yaani utadhani haoni adha ya mafuta wanayopata wananchi wake walompa kura....

  Na hafikirii kuwa hii adha inaweza kutikisa uchumi wa nchi kwa kipindi kifupi.... nachelea kusema kuwa yawezekana na yeye ni mmojawapo wa waagizaji wa mafuta hayo ndo maana anakuwa bubu kuhusu hili...
   
 5. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  jamani acheni jazba huyu jamaa ananianjena tu kwa watanzania ni watendaji wake ndo wanamwangusha. Hahahaaaaa
   
 6. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  jamani acheni jazba huyu jamaa ananianjena tu kwa watanzania ni watendaji wake ndo wanamwangusha. Hahahaaaaa natania tu jamani.
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  yuko njiani, anaelekea Namibia kushughulikia tatizo la mgao wa umeme na ukosefu wa mafuta kwa wana wa nchi yake.. Asipoenda nchi itaingia gizani eti!..
   
 8. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Last I heard, alikuwa anafuturisha viongozi wa dini na jana nadhani alikuwa na Rais wa Somalia.
   
 9. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,765
  Trophy Points: 280
  Yaani huyu JK kuwepo na kutokuwepo ni sawa tuu.............. Kagame alisema apewe bandari na airpot ili ili ailishe TZ na nchi yake...... Jamaa akachekelea tuuu.....Yaani we acha tuuuuuuuuuuu ..............Hatuna Rais ila tu LAIS
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Usirudie tena kusema hv
   
 11. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  I wish tungemchukua Paul Kagame wa Rwanda kama rais wetu Tanzania angalau kwa miaka miwili anakuja kama Consultant na huyu JK anapewa likizo bila malipo akapumzike kwanza aone watu wanavyopiga kazi sio uzururaji tu.
   
 12. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Yupo Namibia Leo ndio ameingia
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kaenda kubembea zake, sisi tulie tu
   
 14. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  Vasco dagama ii na ziara zake bwana lool
   
 15. next

  next JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 601
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Apewe likizo ya malipo aende akazurure. We r better off without a president
   
 16. n

  ngoko JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Anashughulikia matatizo ya somalia ili meli za mafuta zipite salama kwenye gulf ya Aden . Haya madogo madogo ametuma watendaji wake wayashughulikie taarifa ya utekelezaji atapelekewa
   
 17. samito

  samito JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jk
  Bilal
  Pinda
  Makinda

  Hawa jamaa wameamua kutia pamba masikioni hasa kiongozi wao hapo juu, em leteni mwongozo wa kuwashugulikia hawa
   
 18. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Leo anafuturu na Sheikh Shariff....

  Jamaa naona amekata tamaa kabisa, ameamua kuacha nchi ijiendee yenyewe...

  Namshauri atafute remote control itamsaidia kupunguza jazba za wananchi...

  Unajua toka amekufa mtabiri wake Sheikh Yahya anapata tabu sana kujua what is next ndo maana ameamua kuuchuna tu
   
 19. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,568
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Nilikuwa naongea naye (JK) mida hii anasema asisumbuliwe mpaka baada ya IDD manake swaumu tu inamtesa
   
 20. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #20
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha nakweli.. watamcheka akina lyatonga
   
Loading...