Je?? NI MUDA WA WANANCHI KUFANYA MAAMUZI MAGUMU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je?? NI MUDA WA WANANCHI KUFANYA MAAMUZI MAGUMU

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Janja PORI, Aug 10, 2011.

 1. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  jamani Au ndo jinsi ya kumaliza foleni Dar Huku Arusha pamenuka
   
 2. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,424
  Likes Received: 3,785
  Trophy Points: 280
  Pamenukaje..?? Mmejisaidia barabarani au..!!! Foleni haziwezi kwisha, kwa JK foleni ni maendelelo
   
 3. M

  Marcossy A.M Verified User

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 61
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Wajameni serikali iwaoneshe dalili gani hata mjue imeshindwa kutekeleza majukumu yake??? Anayepaswa kufanya maamuzi sasa ni mwananchi mwenyewe.... Muda ndo huu.
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Muda muafaka umefika tusipoteze muda tena.
   
 5. c

  change we need Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jk anasema tumeendelea ..si unaona magari yamejaa barabarani! miaka iliyobaki ni kama muongo 1. na uzuri hawa watu hawaguswi hata wakifanyaje ndo maana hakuna kujali patriotism haipo tupiganie katiba mpya.change we need
   
Loading...