Ngeleja anastahili kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngeleja anastahili kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Brooklyn, Aug 10, 2011.

 1. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania mh. William Ngeleja nathubutu kusema ana roho ya 'PAKA' (roho NGUMU sana)!! Kwa kweli anastahili kuingia katika Guinness World book of records kwa kuweza kuendelea kuwepo madarakani hata baada ya kuonesha UDHAIFU wa waziwazi wa kiutendaji ndani ya wizara yake. Ni ajabu bosi wake ajamwadabisha mpaka leo hii, yaani ameweza kupenya kwenye migogoro/kashfa nzito nzito zifuatazo;

  1. Mgogoro wa Nyamongo
  2. Mgogoro wa Buzwagi
  3. Kuruhusu naibu wake na wabunge kadhaa kupewa ndege na Barrick Gold Mine kwa ajiri ya kwenda kuaminishwa uozo wa mwekezaji dhidi ya walala hoi wa Tanzania
  4. Issue ya kulipwa fidia kwa Dowans
  5. Upandishaji bei wa mafuta ya taa kwa sababu zisizo na mashiko kulikopelekea CC ya CCM kujikoroga hovyo hovyo
  6. Tuhuma za kuchangisha pesa na kutoa rushwa kwa wabunge ili wapitishe bajeti ya wizara
  7. Mgao wa umeme uliosababisha viwanda na hoteli kadhaa kufungwa
  8. Uhaba 'feki' wa mafuta uliopelekea shughuli za kiuchumi kuathirika
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  mwacheni baba Ngeleja atulie ale bata! Kama kuingia kwenye kumbukumbu basi aingie mkwerè mwenyewe kwani chanzo ni mkwerè mwenyewe!
   
Loading...