Kumbe Tambwe Hiza na cheo chake bado ni lulu ndani ya CCM? eti CHADEMA wameingiza makomandoo 33

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Niliposikia tambwe hiza na cheo chake cha uenezi na propaganda kimefutwa nilifikiri jamaa wameliona tatizo na wamejitahidi kulitpatia dawa ya kulituliza kumbe walibadilisha majukumu hayo na kuyapest kwenye JD ya WILSON MUKAMA!nIMESHUKA SANA JANA NAMUONA MUKAMA NA MATE YAMEMGANDA MDOMONI SIJUI WATU HAWAMUONI AKIKAZANA KUSEMA CDM WAMEINGIZA MAKOMANDOO 33!

HIZO NI PROPAGANDA ILI KUTAFUTA SYMPATHY KWA NGUVU TOKA KWA WANAIGUNGA NA WATANZANIA KWA UJUMLA!NADHANI KWA NCHI ILIYOMAKINI MUKAMA ANGETUMIKA SAWASAWA KWA KUSHIRIKIANA NA ASKARI KUWATAFUTA HAWA MAKOMANDO AMBAO MUKAMA ANASEMA ANA USHAHIDI WA KUTOSHA!

LAKINI NILIFARIJIKA KUSIKIA SAUTI YA DR SLAA AKIMJIBU NA KUSEMA HUO NI UVUMI NA ISHARA KUWA SERIKALI KWELI YA CCM NI DHAIFU SANA MAKE KAMA WATU 33 WANAINGIZWA NA UAMIAJI PAMOJA NA MIPAKA YOTE KUWA NA ULINZI NA BADO HAWAKUWAONA JINSI WALIVYOINGIZWA!

MBOWE NAYE KAMJIBU NA KUSEMA HIZO NI FIKIRA ZA KIONGOZI DHAIFU! ACHENI PROPAGANDA HIVI HAMSHUTUKI NA KUGUNDUA KOSA LENU MAKE KWA KILA MOVE MNAYOFANYA MNABAUNCE! TUMECHOKA NOW IS PAYBACK PERIOD BROTHER!
 

mkumbwa

Member
Nov 16, 2009
25
5
Tambwe sio lulu kama unavyodhania. Ni msomi wa form 4 alimaliza kinondoni secondari 1980. Alifanikiwa kupata zero. Ni msanii wa mjini waliojiingiza kwenye siasa . Hata kauli zake anazotoa hazina nguvu. Kwa sababu nchi inaongozwa kisanii ndio maana wasanii kama yeye wanapata nafasi ndani ya chama kikubwa kama hicho
 

Mkuu wa chuo

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
7,382
5,038
kwa hiyo jamaa ameamua kupiga hela za Tambwe Hizza pamoja na zake, kweli jamaa ni noma!
 

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
852
Tambwe sio lulu kama unavyodhania. Ni msomi wa form 4 alimaliza kinondoni secondari 1980. Alifanikiwa kupata zero. Ni msanii wa mjini waliojiingiza kwenye siasa . Hata kauli zake anazotoa hazina nguvu. Kwa sababu nchi inaongozwa kisanii ndio maana wasanii kama yeye wanapata nafasi ndani ya chama kikubwa kama hicho

Umenifurahisha hapo uliposema "alifanikiwa kupata Zero" hapo ndo ka attend skonga, je angekwepa umande moja kwa moja angekuwaje??
 

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
19,366
23,465
labda alisoma heading ya jamiiforum iliyosema chadema wamepeleka kikosi cha ardhini kwa kiwewe chake akaona kama makomandoo toka uarabuni.duh! hii hatari sana.mia
 

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Kama uhamiaji wapo lazima wamtumie mukama aeleze makomandoo walipo make ni kuwadhalilisha!unless hawapo kazini!eheee mungu asante kwa kutuongoza!tumedhubutu kujiongoza bila rais kwa kipindi cha miaka sita na tumedhubutu! 2015 tutampata rais!tuombe uzima nishuhudie tunaandika historia!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom