Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
Zimesalia takribani siku 9 ambapo wananchi wa jimbo la igunga watakwenda kumchagua kiongozi ambaye wanadhani atawaletea maendele kutokana na sera zao.ni dhahiri kuwa cdm imepania kulichukua jimbo la ingunga kuanzia hivi sasa na kama cdm wana uhakika wa kushinda je katika usimamizi wa vituo vya kupiga kura cdm wamejipangaje?