Nifanyaje Kuhakikisha Mzigo wangu hauibiwi Posta? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifanyaje Kuhakikisha Mzigo wangu hauibiwi Posta?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uswe, Sep 23, 2011.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nimetumiwa kitu kutumia USPS, lakini nimewahi kutumiwa vitu huko nyuma na havikufika.


  Nimetumia tracking system ya USPS inaonyesha mzigo wangu uko in transit. Nimejaribu kupiga simu ya posta (ile liyoko katika website yao) 2112816 na 2118182 ili wanipe ushauri nini cha kufanya lakini hawapatikani, ya kwanza inaitwa bila majibu (kwa siku tatu sasa) na ya pili inasema kwa kizungu ‘the number are calling have been restricted to receive this calls''


  Wadau kwenye mwenye ushauri wa nini nifanye kuhakikisha mzigo wangu hauchakachuliwi pale posta? Au kuna mwenye namba ya customer care au mtu yeyote wa posta anaeweza kunisaidia kuhakikisha mzigo wangu hauchakachuliwi.


  Asante.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sasa mzigo uko on transit unapiga simu wapi na ili iweje?
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  0755374029
  mpigie huyo bibi ndio kazi yake hapo posta customer care chumba namba saba, ukipiga mwambie naomba uniangalizie mzigo wangu, kama yupo kazini atakuangalizia. sometimes mzigo waweza fika ila wasiupdate kwenye website. pia kama ni usps priority mail or express mail ndio utaweza track, otherwise kama ni standard service huwezi track.
   
 4. U

  Uswe JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asante sana mkuu, ni priority mail, wamenipa label number nafikiri inaweza kutumika ku-track hiyo parcel
   
 5. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Nakushauri uwe unasafiri nao..mtu akitaka kukupora unapiga kerele za kamata mwizi meeen.!
   
 6. U

  Uswe JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  MCHEMSHO.JPG
  haya chief, nashukuru
   
 7. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ukumbatie mwaya ! abiria chunga zigo lako ati!
   
 8. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  safi sana,maelezo yanajitosheleza na uko seriaz na naamini umemsadia sana mwana jf huyu!kip it up
   
 9. U

  Uswe JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asante sana touchlife, sijapata mzigo bado lakini namba imenisaidia sana, nimepata msaada mkubwa kutoka kwa huyo mpendwa, ingawa nilipata kigugumizi aliponiuliza namba yake nimeipata wapi, pamoja na hayo she is good na amenisaidia sana, once again asante touchlife asante JF
   
 10. U

  Uswe JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  umetisha fabinyo, umegundua kuna vijitu haviko serious humu, na ndio wanaifanya JF (wakati mwingine) ionekane kama something for average thinkers
   
 11. U

  Uswe JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  <br>umetisha fabinyo, umegundua kuna vijitu haviko serious humu, na ndio wanaifanya JF (wakati mwingine) ionekane kama something for average thinkers
   
Loading...