Mdahalo wa madaktari wakijerumani, kichina na wakitanzania ulivyoenda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo wa madaktari wakijerumani, kichina na wakitanzania ulivyoenda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by STREET SMART, Sep 23, 2011.

 1. STREET SMART

  STREET SMART JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 666
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Wakielezea mafanikio waliyoyapata toka mwaka 2005 hadi leo
  1. Madaktari wakijerumani: kwao ujerumani alizaliwa mtoto asiye na macho wala asiyeza kuskia, lakini kwa juhudi zao huyo mtoto leo hii ni mwanasheria maarufu tu.
  2. Madaktari wa kichina: Kwetu alizaliwa mtoto bila miguu na mikono, lakini kwa bidii zetu leo ni mwanariadha mashuhuri.
  3. Madaktari wa Tanzania: Kwetu Tanzania maeneo ya Bagamoyo alizaliwa mtoto bila ya kichwa, tukamuwekea dafu kichwani na leo hii ni Rais wa Tanzania toka 2005. Kweli wabongo noma
   
 2. W

  We can JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mhuuu! Ngoja nipite kwanza, naweza kurudi!
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hii ishaletwa sana humu bana! Bado ipo kule jukwaa la jokes.
   
Loading...