1000Tshs NMB NIAJE PALE

upele

JF-Expert Member
Mar 3, 2010
364
31
jamani jamani sasa imekuwa ni kero hapa tz sijui ni aina gani ya wizi tena nmb unalipia 1000 a.k.a buku kutuma pesa imekaajee hii jamani nijulisheni mbona benk zingine sijaona
ref:nmb mtwara.
Nongwaa nongwaa mfanyie babayoo
 
binafsi hii huduma ya nmb ya kulipia Tsh.1000/= kama unatuma hela kwenye ac.ambayo si yako sijaipenda,naona 1000 ni kubwa sana,huduma kama hizi si za kucharge kwa kiasi hicho,
 
Back
Top Bottom