Mpakani zambia kwazuka vurugu, ni kudai sata atangazwe rais

Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
660
329
sata1.jpg
MICHAEL SATA

Taarifa zilizotufikia punde zinasema hali ya mpaka wa kuingia zambia imekuwa chafu na serikali kulazimika kufunga mpaka, baada ya wafuasi wa kiongozi wa chama cha upinzani MICHAEL SATA kuanzisha vurugu kutokana na kucheleweshwa kutangazwa matokeo.

Mmoja wa vyanzo muhimu vya Indaba africa eneo la Mpakani hapo amedokeza kuwa kuna taarifa za kuchomwa gari moja la upande wa Tanzania ambalo inadaiwa limeunguzwa likiwa njiani kuingia nchini upande wa pili wa mpaka.
Inaelezwa kuwa wafuasi wa Sata wanaamini kuwa kiongozi wao ameongoza kwenye uchaguzi huo lakini serikali inachelewesha matokeo kwaajili ya kuyachakachua!.

Taarifa zaidi zinasema kutokana na hali hiyo magari mengi yaliyokuwa yamekamilisha taratibu kwaajili ya kuvuka mpaka yalilazimika kuegeshwa eneo la "No man's land" ili kuepuka uharibifu wa mali.

Joto la uchaguzi la Zambia limeendelea kupanda siku hadi siku kutokana na kiongozi aliyoko madarakani kudaiwa kutofautiana na kanisa katoliki nchini humo, hatua ambayo imempa nafasi kiongozi wa Upinzani SATA kuwa maarufu kutokana na kuungwa mkono pia na viongozi wa dini nchini humo.
 
Mkuu nipo nafatilia kwa ukaribu wa hali ya juu,jambo lolote litakolotokea zambia litaathiri tanzania moja kwa moja,jana usiku balozi wa marekani nchini zambia aliongea na rais banda na kumweleze akubali ameshindwa lakni amegoma,hali sio nzuri upande wa zambia shughuli zote zimesimama
 
mkuu nipo nafatilia kwa ukaribu wa hali ya juu,jambo lolote litakolotokea zambia litaathiri tanzania moja kwa moja,jana usiku balozi wa marekani nchini zambia aliongea na rais banda na kumweleze akubali ameshindwa lakni amegoma,hali sio nzuri upande wa zambia shughuli zote zimesimama
thanks kiongozi tupo pamoja kufuatilia mtiririko wa matukio kiintelijensia zaidi!!!!!!!!!!!
 
Ghasia zimezuka katika miji miwili ya kaskazini mwa Zambia ambako wafuasi wa upinzani wanalalamikia kucheleweshwa matokeo ya uchaguzi wa Jumanne.
Mkuu wa Polisi wa jimbo hilo maafuru kwa uzalishaji Shaba ameliambia shirika la habari la Reuters watu wamejitokeza katika barabara za mji wa Kitwe na Ndola wakivurumisha mawe.
Mwandishi wa BBC anasema ghadhabu hizi zimechochewa na agizo la serikali kupiga marufuku vyombo vya habari kutangaza matokeo bila ya idhini ya tume ya uchaguzi ya nchi hiyo.
Rais Rupiah Banda anakabiliwa na changamoto kali kutoka mpinzani wake wa karibu Michael Sata.
Mwandishi wa BBC Mutuna Chanda akiwa Lusaka kilomita 300 kusini mwa Kitwe, anasema taarifa kuhusu ghasia tayari zimeshafika katika mji mkuu na kuwa watu wanaogopa sasa kwenda mjini kwa hofu ya kuzuka ghasia.
Tunajaribu kukabiliana na hali hii, kuna ghasia Kitwe na Ndola
Mkuu wa Polisi wa Mkoa Martin Malama akiongea na shirika la habari la AFP.


Huko Kitwe, waandamanaji waliteketeza soko moja usiku na Polisi wameweka vizuwizi katika mji wa Wusaikile.
Matokeo ya hivi punde yanaonesha Bw. Sata anaongoza kwa 47% ya kura katika maeneo 33 ya uwakilishi kati ya 150 ya nchi nzima.
Rais Banda alimshinda Bw Sata kwa kura 35,000 katika uchaguzi wa mwaka 2008, matokeo yaliozusha ghasia kutoka upande wa upinzani katika ngome zao za mijini.
Tangu uchaguzi wa mwaka 2008, watu wengine milioni moja wamejiandikisha kuwa wapiga kura,wengi wao vijana wasio na ajira.
Mwandishi wetu anasema matokao kamili yanatarajiwa kutangwa leo jioni.
Source: BBC SWAHILI
 
Jaman kwa time izi kumetulia hakuna vulugu ila shughuli zote za uchumi zimesimama ila amani ipo mana mi nandika toka tunduma pia ni mkazi .ila muda huu kwa mbali naona tv zmbia inatoa matokeo
 
Jaman kwa time izi kumetulia hakuna vulugu ila shughuli zote za uchumi zimesimama ila amani ipo mana mi nandika toka tunduma pia ni mkazi .ila muda huu kwa mbali naona tv zmbia inatoa matokeo.njoja tufuatilie
 
Hivi hawa viongozi wa Afrika wanaugua ugonjwa gani jamani?hii ndo demokrasia wanayodai wameleta kwenye nchi zao ya kuwarubuni wananchi kuwa kuna demokrasia pindi wanaposhinda na kuikataa hiyo demokrasia pale wanapotakiwa na wapiga kura kukaa pembeni?


Dawa yake huyu mbwea ni kumGaddafi mpaka Lusaka iwake moto na ujizime wenyewe,mpaka kieleweke!!
 
Ila inaonyesha mpaka sasa sata anaongoza sijui kama hawajamchakachua mana vyombo vyote vya hbr haviluhusiwi kutoa matokeo mpaka tume ya uchaguzi itangaze hapo kuna nin tena
 
Jaman kwa time izi kumetulia hakuna vulugu ila shughuli zote za uchumi zimesimama ila amani ipo mana mi nandika toka tunduma pia ni mkazi .ila muda huu kwa mbali naona tv zmbia inatoa matokeo.njoja tufuatilie
Sasa Erick mda wote wakati wa machafuko kwanini usitujuze ndiyo unatuletea habari za kumetulia? au unashindwa kunusa habari ninini? siku nyingine hizo ndiyo habari zinapotokea siyo zikishapoa sawa!!!!!!
 
Sasa Erick mda wote wakati wa machafuko kwanini usitujuze ndiyo unatuletea habari za kumetulia? au unashindwa kunusa habari ninini? siku nyingine hizo ndiyo habari zinapotokea siyo zikishapoa sawa!!!!!!

sio hivyo mkuu ujue natumia cm hivyo nashinda kuweka topic new km unamaujanja nisaidie kuomba msada sio ujinga bali ni ungwana.or nitupie maujanja kwenye e mail yng joseph.eric86@yahoo.co.uk
 
sio hivyo mkuu ujue natumia cm hivyo nashinda kuweka topic new km unamaujanja nisaidie kuomba msada sio ujinga bali ni ungwana.or nitupie maujanja kwenye e mail yng joseph.eric86@yahoo.co.uk
Unatumia cm gani, manake navyofaham Blackbell,iphone na nokia kuanzia c3 kwenda mbele zinamudu, ukishaingia jamii forums nenda kwenyehabari mchanganyiko baada ya hapo kuna post new topic kabla ya zile topic click hapo itakutaka uweke user na password
 
Five opposition parties presidents meet ECZ on people's concern on delayed results. Right now Nawakwi ,Milupi and Chipimo on tv right now
 
Maraisi wa Africa huwa wanadhni wana hati miliki ya kuongoza nchi na vyama vyao vyenye Mlengo wa Magamba
Nyambafu
 
nasikia bado majimbo 65 ila mpaka sasa sata anaongoza kwa zaidi ya kura laki moja na arobaini
 
Polling staion RB SATA HH COnfirmed
Muf: Kantanshi, J.B poling station, 46 476 46 No
Mongu: Conference hall 105 177 49 No
Chingola, Chingola Arts Society 176 975 56 no
Kitwe, Wusakile 86 1054 09 no
Mufulira, Chawama, 99 1393 76 No
Chongwe Boma 1466 1266
Chongwe: Chainda 598 189
Chinkuli 176 102
Chikubi 68 26
Bimbe 318 34
Mumbwi 59 14
Nachitete 85 34
nakonde central 615 2210 47
E. pr, Matula basic: 667 172 112
Mongu: MCH 105 177 49
Ndola: Kansenshi Basic 243 10752 76
Lusaka: Libala 260 804 178
Ndola: Zamtel college: 105 2833 12
Ndola: Bible college: 167 7064 73
Ndola BasicRed Cross
Ndola: Northrise Basic Sch 146 5605 64
Ndola: Kansenshi High Sch 107 337 25
Ndola: Ndola Trust sch: 97 2857 31
Provost: 89 3798 30
Ndola: Ndola basic sch 102 3909 36
Ndola: Red Cross branch 178 662 50
Kitwe: CBU 338 1566 111
Kitwe: Kitwe College of Edu 71 482 3 8
Kitwe: Wusakile: Banda ward 61 544 2
Kitwe: Chamboli Ward: 106 1350 16
Kitwe: Twasuka Ward: 93 946 5
Ndola: Vitanda Z. Railways ward: 31 210 16
Namwala: 30 wards: 1772 1178 5551
Chavuma const. 6042 238 3288 Yes
Livingstone Const (so far) 1393 1090 1630
East pro. Feira const 3853 2408 742 Yes
NCHANGA CONSTITUENCY, 2883 21437
Kanfinsa const: 409 14730 666 Yes
Ndola Const 7303 20292 1409 Yes
wusakile constu 3901 20768 517 Yes
mwense const 2912 10271 430 Yes
Kankoyo const 2794 9642 Yes
Bahti Const (luapula) 3126 14522 141 Yes
Mansa central const. 3300 13277 Yes
Kitwe: Nkana 3637 20391 Yes
Kakoyo - chingola 2794 9642 304 Yes
Itezi tezi const 3582 631 7520 Yes
Lufusa const 6614 1358 1489 Yes
lusaka central 8367 20235 3350 Yes
Kabompo west 5258 835 3602 Yes
Nakonde 11378 9363 433 Yes
Monze central 2981 1177 21373 Yes
Mpongwe const 9053 4073 10238 Yes
Roan const 5301 12950 321 Yes
Selenje 4851 3689 204 No
Bwacha const 7254 10317 No
Nangoma const 5484 5484 5860 No
Namwala const 4382 280 15936 No
Chinsali 3500 12880 88 No
Chipata central const 15698 8910 712 No
Kabompo East 4619 446 6320 No
mandevu const 6978 37087 2901 Yes
Kabwe Central const 8650 15645 2195 Yes
Choma centra const 4412 1655 20819 No
Kasama central 4481 25260 274 No
chama north 6373 5591 295 No
Gwembe Const 1617 236 12361 Yes
Solwezi west const 7775 2362 4815 Yes
Malole const 4906 28521 205 Yes
Masaiti 9824 9824 500 Yes
Mpika 2329 13117 150 Yes
Chifubunali const 3845 15262 57 Yes
Kapoche const 12323 2739 433 Yes
Kaputa const 8201 5532 29 Yes
Bwana Mukwa 5567 18376 864 Yes
Kasengwa 19386 1640 249 Yes
______________________________________________________________
Subtotal TOTAL (verified figures) 542,362 639,787 247,284 80 const.
 
Police in nakonde are firing tear gas and live rounds to dispace rioters(protesters) the riot started at around 10hrs over the delay of the election results, right now the police are still firing tear gas at protesters and business came to stand still all the shops are closed and all transportation vehicles are not operating since yesterday. the great north road was closed today when the riot started. STANLEY in Nakonde.
 
Safi sana, aking'ang'ania atatolewa kwa nguvu kama Bagbo. Wahuni wa Africa hawataki kusikia wameshindwa, upuuzi wa hili bara ndo huwa unanikata maini mie.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom