EWURA na BP-baba moja mama moja

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
EWURA ambao ni mamlaka inayotambulika kisheria waliamua kuifungia kampun ya BP kwa sababu ya kugoma kuuza mafuta,,,,,hatimae jana BP wameiomba radhi EWURA kwa kosa walilolifanya,na pia EWURA wameukubali huo msamaha,lakini kwangu mimi nachotaka kusema ni kwamba EWURA wamesahau shabu tuliyoipata watanzania???au walikua wakituhadaa sisi kuwa wana makucha,pili BP leo wanatuomba radhi watanzania,,,,,,,,ili iweje????na wanatuomba kwa ajili gani,wao walifanya kosa????si wanasema kuwa wao walikuwa hawapati faida?????sasa kama ni hivyo wanatuomba radhi ili iweje????BP msamaha wenu ni kweli unaweza kuwafidia watanzania juu ya adha waliyoipata wakat mmegoma kuuza mafuta????
Binafsi nadhan EWURA na BP hawajawatendea haki WATANZANIA,kama EWURA waliwapa adhabu basi walipasa waitekeleze,maana kabla ya mgomo serikali KWA KUPITIA EWURA walizungumza na wauza mafuta.
nasema kwamba:EWURA NA BP-BABA MOJA MAMA MOJA
 
Not necessarily....... I was so dissappointed when January related BP(Tanzania) LTD na serikali.
Let's try to understand the role of the government as a part owner of BP(Tanzania).
Just to give you a jumpstart, BP(Tanzania) is almost one billionth (liberal estimate) of BP.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom