Wakuu huyo mpambanaji ananifurahisha na kunitia moyo sana!kila siku anakuja na kitu kipya na kinafanyiwa kazi vilivyo,vipi tukiwa na Rais kama huyu hapa kwetu!
President Michael Sata has...
Jamani hebu fuatilieni hizi fm redio zilojaa ka utitili. Vipindi vyao sivielewielewi kwanza vinafanana sana wanabadili tu majina afu mada zao nyingi ni porojo. Sikatai sometimes porojo ni...
ANATAKIWA ACHAFUE KITI
TUBU BABA
TUELEZE KUHUSU RICHMOND
KWA NINI ULIACHA UWAZIRI MKUU
WALIOSHIRIKI RICHMOND
Wabaya wako wanakuchafua,njoo kwa wananchi watakusikiliza,
Waathirika wa mabomu Gongo la mboto wamesusia hundi za malipo yao ya uharibifu wa vyombo,mama mmoja akiojiwa amesema hawezi kupokea hundi ya malipo ya elfu moja(1000/=)...
Kwa nini licha ya utafiti kuonyesha kuwa uvutaji sigara una madhara mengi, lakini bado serikali nyingi zingali zina viwanda vya kutengeneza sigara. Kwa nini serikali haziwi mstari wa mbele kupiga...
Yeah -
- Ni familia ya ya watu sita
- Nyumba ina geti la chuma na milango yote ya nje na madirisha yamewekewa nondo
- Nyumba ina uzio wa Umeme (Electric Fence)
- Nyumba ina CCTV camera 15
-...
Mu khali gani wana jamvi?
Huku kwetu rombo hali si shwari kwani sukari imezidi kupaa bei toka 2400 hadi 3000, hali hii inatokana na police wa himo kuzuia magari yote yanayotoka moshi yaliyobeba...
WanaJF! Kwa kweli nimesikitishwa na habari ya Radio one kusema mtangazaji maarufu wa Zanzibar atazikwa leo asubuhi. Kwa kweli kifo ni hatari kwani huyu jamaa namkubaligi sana hasa kwenye michezo...
Kwa mara ya kwanza namsikia zembwela ameacha kuongea upupu na kuongea mambo ya maana
leo hii alikuwa anahhojiana na mtu mmoja kuhusu wakuu wa wilaya na mkoa ambao awafanyi kazi zao
na kuambiwa...
"CDM Lend your voice to voiceless poor, to break the fetters of demon poverty. See the poor people's smiles in prosperity. Time has come for the down that will swallow up the darknes of poverty...
LUBUMBASHI, DR Congo
WASHAMBULIAJI wawili wa Tanzania, Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wamefanikiwa kutwaa taji lao la kwanza la Ligi Kuu ya DR Congo baada ya timu ya TP Mazembe kuichapa DC...
Dr Kikwete na Yoheri K. Mseveni watakuwa wageni rasmi katika kuazimisha
miaka 50 ya chuo kikuu cha Udsm
Ukumbi utakuwa Nkurumah wanaJf wanasema kuwa Jakaya anawaogopa wanaudsm
sasa tarehe...
Leo ni leo Pale Ukumbi wa Mlimani City
RAIS wa Tanzania Mh Jkaya Mrisho Kikwete atalakiwa na Wasomi wa Chuo Kikuu cha dar es salaam
katika kuchangia ujenzi ya Student center
WanaJF...
TATIZO la vifo vya akinamama wakati wa uzazi limezidi kuwa kubwa nchini ambapo sasa kati ya 100,000, wanawake 454 hufa kila siku sawa na wanawake 7,700 kila mwaka.
Hayo yamebainishwa katika...
WATU watano wakiwemo baba mzazi na mama wa kambo wa kijana mlemavu wa ngozi, Adam Robert, wamekamatwa na Polisi wilayani Geita Mkoa wa Mwanza, kwa tuhuma za kumjeruhi
kwa kumkata mapanga na...
Nilifahamiana na huyu kijana mwaka 2004, tulipokutana pale kituo cha utamaduni cha Russia, akawa ni rafiki yangu wa karibu sana. Tulikuwa na mazoea ya kutembeleana mara kwa mara na hata pale kwao...
Tupo hapa mlimani city conference centre, kuna fund raising dinner ya udsm. si mtaalamu wa uchumi lakini naona gharama ni kubwa kuliko matarajio. kiingilio kilikuwa laki mbili, ila naona nafasi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.