FM redios zinaboa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FM redios zinaboa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Invarbrass, Oct 18, 2011.

 1. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani hebu fuatilieni hizi fm redio zilojaa ka utitili. Vipindi vyao sivielewielewi kwanza vinafanana sana wanabadili tu majina afu mada zao nyingi ni porojo. Sikatai sometimes porojo ni burudani lakin it is too much.

  Afu kero kubwa ni pale wanaposhupalia matukio makubwa yanayo wazidi uwezo wa kuchambua af wanaanza kupotosha umma. Utakuta eti mtangazaji anajadili habari za Libya wakati uelewa wake ni finyu.

  Wa kati mwingine wanatake side wanapojadili issue sensitive kama za dini ( rejea isssue za Igunga) Nashauri wamiliki waajiri watu wenye kada tofauti ili kila mtagazaji a deal na area yake. Pia wajisomee make ni aibu kumwaga pumba mbele ya public utadharaulika. Pia wamiliki wajue Tanzania sio ya masharobalo tu. Waaandalieni masharobalo vipindi vyao na pia vyenye mantiki andaeni.

  Mtapotosha watoto wetu. KUtwa nzima utasikia ooohhh.. UNAONA BWANA. EBO!
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Tabu hakuna quality kungekuwepo na quality na utofauti mkubwa basi pumba na mchele vingejitenga.., ila ni kweli redio zimekuwa nyingi sana hadi hakuna choice inabidi hawa watu waanze market segmentation yaani kila redio iwe na targeted audience.., nadhani kwa sasa audience nyingine nyingi Hazitendewi haki hakuna watu wa ku-analyse news vizuri na kuwa critical..., na hata wakijadili issues wangekuwa wanaleta wataalamu wa pande mbili ii wapate different views na different sides of the story na sio kuhubiri
   
 3. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mara {haina majotroo} khaaa.. What this ?
   
 4. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Nakerekwa na tabia yao (watangazaji) ya kujifanya wao ndo wachambuzi na wanajua kila kitu, hasa kipindi cha Jahazi, Leo tena, Mcharuko, na kile cha Radio One knafanana na Leo tena sio wanakiijitaje wenyewe. Yaani vipindi havina mbele wala nyuma utakuta wamejazana studio kibao afu wote ni watangazaji. Kila mtu anaongelea umbea utadhani watanzania wote tunapenda habari za umbea. Na kinachokera wanakaa studio masaa manne wanaongea tu.
   
 5. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Kwa mujibu wa Waziri wa Habari alisema kuna jumla ya vituo vya radio sabini na kitu. Na Tz ndio inaongoza Afrika kwa kuwa na vyombo vingi vya habari.
  Turudi kwenye mada husika.
  Sasa hivi mtu yeyote anapoanzisha kituo cha Radio uwa ana kuwa amekwisha target audience. Na kama tujuavyo idadi ya vijana na watoto ni kubwa kuliko hata wazee. Ndio maana vipindi vingi utakuta vinalenga zaidi vijana. Kwa hiyo unapokuta Radio ina vipindi vingi ambavyo kwako wewe unaona havina maana,kwa mwenye Radio vina maana sana kibiashara.
  ''Business men believes that,money makes the world go round''
   
 6. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu tatizo ni kwamba hii fani ya radio personality imevamiwa na watu wasio na sifa ambao ni wababaishaji tu. As a radio personality mtu anatakiwa awe mwenye uelewa wa mambo kwa undani na kipaji. Ndio maana mtu kama Howard Stein ali-sign a mega deal of 5 years worth 500 million USD!! na watu wa Sirius satellite radio Inc.. Mpaka hii biashara ya kuokotana barabarani ili mradi mtu anajua kupiga kelele anakuwa mtangazaji ndio maana radio stations zetu zimefika hapa
   
 7. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  sio lazima kusikiza soma hata novel kupanua wigo wako wa lugha
  waachie wazee wa uswazi na kina mama wa kiswazi wasikize
   
 8. l

  libe mikosho Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  namna hiy mzaz
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Tena vipindi vya kuanzia saa tatu hadi saa saba, ni umbea tu na mbaya zaidi karibia redio zote vipindi vya muda huo vinafanana.
   
 10. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  tena watangazaji wengine wana tabia ya kuongelea maisha yao binafsi.
   
 11. M

  Makupa JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Clouds FM ndio inaongoza kwa kuboa sidhani kama kwa wale wasomi walioelimika wanaweza kupoteza muda wao kusikiliza upupu wa hii radio, na hii imechangiwa na kuwa na WATANGAZAJI ambao elimu yao haizidi kidato cha sita
   
 12. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,402
  Likes Received: 3,727
  Trophy Points: 280
  Achana nazo............. We anza kusikiliza unazozipenda........... Inaelekea kwa umri, tabia na priority zako kuna siku utataka beach zote zifungwe
   
 13. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Jamani muda wenyewe sio wa wasomi, saa tatu ndio odience yenyewe. Yasikupe shida sana hizi zinapita tu, mambo yakibana watatafuta kazi za kufanya mbali na kubiga domo. We switch BBC
   
Loading...