Tanzia: Hamad Hamad Maulid kuzikwa leo asubuhi Zanzibar

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
WanaJF! Kwa kweli nimesikitishwa na habari ya Radio one kusema mtangazaji maarufu wa Zanzibar atazikwa leo asubuhi. Kwa kweli kifo ni hatari kwani huyu jamaa namkubaligi sana hasa kwenye michezo na mambo mseto ya siku ya j'pili saa tano asubuhi. Rest In Peace Maulid! NAWASILISHA KWA WANAjf!
 
Sidhani kama kifo chake ni habari ya kisiasa. Au alikuwa diwani?
 
Sidhani kama kifo chake ni habari ya kisiasa. Au alikuwa diwani?

Bila shaka ni thread hii niya kuikubali tu! Na mambo ya mahojiano ndani ya kifo Mi sioni km ni issue na mi naona km kifo cha Hamad Maulid Hamad ni pigo kwa ITV kwn ni mtangazaji wao Mkongwe pale Zenji. Rest In Peace Hamad!
 
Huyu jamaa alikuwa pia ni mwanamichezo mzuri sana wa mpira wa miguu! Hili ni pigo kwetu cc wanamichezo!
Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa amani. Amen.
 
Inna Lillahi wainna ilaihi rajihunna.

Aliwahi kuwa kiongozi mkuu wa timu ya Taifa ya jang'ombe na mkaazi wa jang'ombe pia.

Ni pigo kubwa sana kwa wana Jang'ombe, wazanzibar na watanzania kijumla na wanamichezo wote duniani.

Hakika kwangu Mimi mpenda soccer hili ni pigo sana jama. Nazidi kusema apumzike kwa Amani ya Bwana!
 
Back
Top Bottom