Madhara ya uvutaji sigara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhara ya uvutaji sigara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mdau wetu, Oct 19, 2011.

 1. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa nini licha ya utafiti kuonyesha kuwa uvutaji sigara una madhara mengi, lakini bado serikali nyingi zingali zina viwanda vya kutengeneza sigara. Kwa nini serikali haziwi mstari wa mbele kupiga vita sigara kwa kufunga viwanda vya kutengeneza sigara na kuvigeuza kuwa vya kusindika matunda?
   
Loading...