Leo jioni:UDSM kumlaki Jakaya Mlimani city

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Leo ni leo Pale Ukumbi wa Mlimani City

RAIS wa Tanzania Mh Jkaya Mrisho Kikwete atalakiwa na Wasomi wa Chuo Kikuu cha dar es salaam
katika kuchangia ujenzi ya Student center

WanaJF mnakalibishwa kwa michango yenu

Keybord sio ujenzi wa taifa
 
Ile hela ya Downs waipeleke UDSM! Anyway, all the best JK katika kuchangisha fedha hizo, tunahitaji mapinduzi ya hali ya juu katika elimu yetu kutegemea mzungu kila siku ndo kunazidi kutupeleka pabaya kama taifa.
 
Kwanini wasichangishe watu wakapata sehemu ya kulala? Mtu analala kwa shida unategemea ELIMU YAKE ITAKUWA YA MAFANIKIO?
 
Kwanini wasichangishe watu wakapata sehemu ya kulala? Mtu analala kwa shida unategemea ELIMU YAKE ITAKUWA YA MAFANIKIO?

Hata Marekani watu wengine wanalala chini tena nje siyo kwenye nyumba. Kwa hiyo unataka tusubiri mpaka kila mmoja apate pa kulala ili watanzania washughulikie masuala ya elimu? Tunajifunza kuwa KUPANGA NI KUCHAGUA kuna baadhi ya mambo utayakosa lakini isiwe kikwazo cha kukufanya usifanye masuala mengine ya muhimu. Hebu tuachane na fikra za kivyama and face the reality!!!
 
mlimani city pakubwa ukilinganisha na nkrumah hall,karibun sana.

usimtete huyo kiumbe, anawakwepa wasomi. huyu mtu anaogopa ud kama ****sijui kwanini? anyway akaongee na walee wazee wa dar es salaam. pengine wajukuu zao wapo ud
 
Kwanini wasirekebishii hivi vyoo vya udsm?
images
 
Mhhh hiyo dinner ni ya waliyonayo tu kama mafisadi. Sioni ni vipi mwalimu wa UDSM ambaye si fisadi anaweza kushiriki dinner party hiyo kwa kutoa shilingi laki mbili kama walimu walivyotakiwa na uongozi. Mi nafikiri wangelichangisha kiasi mtu anachoweza na sio lazima iwe laki mbili.
 
Leo ni leo Pale Ukumbi wa Mlimani City

RAIS wa Tanzania Mh Jkaya Mrisho Kikwete atalakiwa na Wasomi wa Chuo Kikuu cha dar es salaam
katika kuchangia ujenzi ya Student center

WanaJF mnakalibishwa kwa michango yenu

Keybord sio ujenzi wa taifa
Hii itapunguza kidogo mtazamo hasi wa wasomi dhidi ya huyu mtu. Hata hivyo penye red nilipasoma harakaharaka nikachanganya na neno lawitiwa nikataka nihamaki nikuambie utuondolee matusi yako hapa
 
Leo ni leo Pale Ukumbi wa Mlimani City

RAIS wa Tanzania Mh Jkaya Mrisho Kikwete atalakiwa na Wasomi wa Chuo Kikuu cha dar es salaam
katika kuchangia ujenzi ya Student center

WanaJF mnakalibishwa kwa michango yenu

Keybord sio ujenzi wa taifa

Tukeni huko na magamba yenu.
 
nasubiri kusikia speech yake. vitu kama vile 'tumeongea na wenzetu wa marekani waje watusaidie kujenga darasa' haitokosekana kwenye hotuba yake
 
Back
Top Bottom