Malipo ya mabomu,Gongo la mboto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo ya mabomu,Gongo la mboto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by prakatatumba, Oct 19, 2011.

 1. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Waathirika wa mabomu Gongo la mboto wamesusia hundi za malipo yao ya uharibifu wa vyombo,mama mmoja akiojiwa amesema hawezi kupokea hundi ya malipo ya elfu moja(1000/=) wakati nauli ya kufuatilia ametumia elfu kumi na tano.Mkuu wa mkoa amesema wapeleke malalamika yao kwake halafu yatashughulikiwa lasvyo hela inarudishwa hazina.(WAPO REDIO 98:00,HABARI YA SAA SITA MCHANA)
   
 2. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Maandalizi ya kutenganisha cheque hayazidi buku?
   
 3. t

  tshaka Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna errors nyingi sana zimetokea haiwezekani kulipwa 1000/=Tsh,wapeleke malalamiko ngazi ya juu zaidi.
   
 4. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  elfu moja! Dah!
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kama kawaida watendaji wa serikali ya ccm kujinufaisha kupitia matatizo ya wananchi.

  Sidhani kama hata huyo mkuu wa mkoa atakuwa na msaada wowote zaidi ya kuwapa maneno ya matumaini fake!

  Mbagala tuliona watu walivyodhulumiwa na sasa g/mboto wanadhulumiwa kwa staili ile ile na watendaji wale wale.
   
 6. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wameambiwa kama hawataki hela inarudishwa hazina
   
 7. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  bi mkubwa alikuwa anahojiwa pale
   
 8. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  baadh ya raia wamesema hawataki hela wachengewe pamoja na kununuliwa hvyo vi2
   
 9. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sishangai watu walilipwa elfu tano kuhamishwa bonde la mzakwe bila aibu....dah hii nchi hii
   
Loading...