Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

habari wana jf. nikiwa home nimeketi kwa umakini mkubwa nikisikiliza taarifa ya habari kutoka tbc1 nikasikia habari ya chanjo mpya ya maleria ambayo kwa maelezo ya watafiti wanasema inaweza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Anasema moja ya sifa ya mwanasiasa ni uvumilivu, -kama una nafasi tune to magic fm
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Majira ya saa sita kasoro usiku maeneo ya hapa k'ndon mkwajun umeme ulikatika,m2 wa mwananyamala akanambia kwake pia umekatika,pia kuna m2 huko moro kasema umekatika,je hapo ulipo wewe umeme upo...
0 Reactions
75 Replies
6K Views
Miaka ya hivi karibuni Magari ya serikali yemezidi kuwa ya kifahari sana,na Gharama za kuyatunza ni JUU mno. Mengi ya hayo magari yapo JIJINI Dar-es-salaam.yanatumia mafuta mengi katika foleni za...
0 Reactions
22 Replies
24K Views
Tunasoma Mwanzo 6:13 hivi, Mungu akamwambia Nuhu, Mwisho wa kila kiumbe umefika mbele zangu; kwa sababu wameijaza dunia maovu, basi nitawaangamiza pamoja na dunia.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Rostam Aziz,kada wa chama cha mapinduzi (CCM)aliyejiuzulu nyadhifa zake zote katika CCM kwa madai ya kuchoshwa na siasa uchwara,anajua kucheza kama pele na kupanga mikakati kama Kanisa...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Hivi Watanzania watastaarabika lini na kuacha ushirikina hasa wa kuwanyofoa viungo maalbino
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu hivi kirefu cha ccm kina maanisha nini kwa upande wa bara?kwani kwa upande wa Zanzibar kitakuwa kina maana kidogo kutokana na kweli yalifanyika Mapinduzi, je kwa upande wa bara walifanya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naona watanzania wamefurahi sana kuona hatua zinazochukuliwa katika kukabiliana na ajali barabarani, mimi pia ni mmoja wa watanzania lakini nina uwalakini na namba hizo. Hofu yangu ni kuwa tuwije...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
aaaaaaa deleted
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nipo hapa ngurdoto tangu jana jioni kwa mishemishe zangu. nimeshangazwa sana jinsi huduma zilivyoporomoka. lakini lililoniacha hoi zaidi ni aibu alopata ngeleja na naibu wake malima. nimewaona...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello pipo, leo nimepigiwa simu toka number hii +25515600 kwenye simu yangu ya voda afu ni sauti iliyorekodiwa kwenye mashine ikiwa inaongea upesi upesi(sikumbuki) ila mwisho wakasema kukubali...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ccm ni sawa na gari lililochakaa kwa safari ya muda mrefu (miaka 50). Hata wana ccm wenyewe wamechoka sana. Mfano mabalozi wamechoka, hawajiwezi tena kwa lolote hoja au ushawishi hivyo nawashauri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanaofanya ujenzi wa barabara kipande cha banana-g/lamboto hawawezi kujenga usiku?au ndo wanaka waonekane kuwa wanafanya kazi?nadhani usiku ni muda muafaka kwa shughuli hiyo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hapa ninapoandia habari hii machozi na kamasi nyembamba zinatiririka kutokana na mabomu ya machozi. ni majira ya saa kama kumi na mbili hivi wakati narejea kutoka mizungukoni nakuta watu wengi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau, Naomba anayefahamu any website itakayoniwezesha kupata apartment hapo dar. Sihitaji dalali
0 Reactions
6 Replies
2K Views
WanaJF wenzangu naomba mnijuze nami nipate ufahamu, nataka nipate nakala ya WARAKA WA UTUMISHI WA UMMA latest version coz DHRO wetu anaubania na anatunyima haki zetu za msingi mfano kujiendeleza...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Jerry aliwekwa chini ya ulinzi wa polisi na kuhojiwa kwa masaa matano.Inasemekana alikuwa anatokea Dar kuelekea Mbeya na bus la Sumry leo saa tano na alipofika check point ya Iringa alishuka...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Kuna mengi ya kuchukiza huwa yanajitokeza na kuripotiwa hapa JF na wazalendo mbalimbali. Hivi hatuwezi kuzigeuza nafsi zetu tukawa wapigania uhuru wa kweli badala ya kuishi kama vivuli zaidi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni tarehe 17 Oct walikuja maafisa wawili wa kike pale bajaji(oppna sigara)wakakuta wahindi wanafanya kazi huku wakiwa hawana permit na passports.Kwa kuwa ni shamba lao waliondoka na mmoja wao...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom