Ulinzi Majumbani kwetu!

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,078
2,443
Yeah -

- Ni familia ya ya watu sita
- Nyumba ina geti la chuma na milango yote ya nje na madirisha yamewekewa nondo
- Nyumba ina uzio wa Umeme (Electric Fence)
- Nyumba ina CCTV camera 15
- Nyumba ina mlizi wa Ki-Masaai
- Nyumba inalindwa na Ultimate Security
- Ndani ya uzio kuna Mbwa watatu
- Pia mtaani kuna ulinzi wa Sungusungu (Ulinzi shirikishi)
- Familia hii wote ni waumini safi wa dhehebu fulani na Kikristo

Hapa ningependa kufahamu, huu ni ulinzi au ni woga?
 
umesahau wakiingia kulala kila chumba kinapigwa komeo na funguo. life in towns is for the desperate,hujaongelea ulinzi wa magari yaliyopaki gereji ambayo nayo ina lango la chuma. anzia kwenye gear lock,pedal lock, car track, alarm ya kukata mafuta, comprehensive insurance, na siku hizi kuna insurance ya kioo cha mbele. kha!
 
Yeah -

- Ni familia ya ya watu sita
- Nyumba ina geti la chuma na milango yote ya nje na madirisha yamewekewa nondo
- Nyumba ina uzio wa Umeme (Electric Fence)
- Nyumba ina CCTV camera 15
- Nyumba ina mlizi wa Ki-Masaai
- Nyumba inalindwa na Ultimate Security
- Ndani ya uzio kuna Mbwa watatu
- Pia mtaani kuna ulinzi wa Sungusungu (Ulinzi shirikishi)
- Familia hii wote ni waumini safi wa dhehebu fulani na Kikristo

Hapa ningependa kufahamu, huu ni ulinzi au ni woga?
Mbona umesahau na bastola iliyopo chumbani kwa baba?
 
katika maisha kuna unapokuwa na uwezo na kupata kila kitu ulichokuwa unahitaji. Usalama ndio uwa inakuwa hatua ya mwisho na usalama ni ule wa kwako wewe na familia yako,pamoja na mali zako.
Kwa hiyo uenda wahusika wa hiyo familia wanahitaji usalama.
Kuna kanuni inaitwa ''Manslow hierachy of needs''
 
Uzio wa umeme, mlinzi wa kimasai, mbwa mkali, tunguli na silaha za kisasa hakika hazifai kitu kweli hazifai kitu, Bwana amtumapo mjumbe kuchukua roho yako.
Wako wapi, wako wapi waliowahi kutikisa dunia hakuna hata mmoja wao. Jina la Bwana lihimidiwe. Yesu pekee ndo mlinzi wa kweli.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom